Atafanya maana yeye ndo atakuwa TOP,Sasa hivi inakuwa ngumu maana yeye siye RAISIbado siamini maana chama chao kina wenye chama. Hapa anatafuta tu huruma ya wananchi. Akiingia sidhani kama atatenda yote hayo.
nadhani washauri wake wamechemka kwa hili, amefail?
Wewe mkata viuno wa Diamond punguani kweli mimi nawakubali wote hata Padre Slaa hana uwezo wa kujenga hoja kama Mwigulu.
Nawashauri UKAWA kura zao wampe Mwigulu akikatwa CCM aje kugombea UKAWA.
Mwigulu anaongea masuala muhimu.ningekuwa gamba huyu ndie angekuwa chaguo langu.
Ila kusema kweli Mwigulu anafaa sana kuwa Rais.. Hayo anayoyasema sio tu anayasema kufurahisha genge ila najua kabisa anamaanisha.
I met him 2008 pale ofisini kwake BOT Arusha kabla hajaingia kwenye siasa.. Na haya anayoongea yalikuwa yanamuumiza tangia kipindi hicho. Kuwa kwake Naibu waziri kwenye hii rotten system hakuwezi kushusha credibility yake kwa maana yawezekana ana nia ya dhati kabisa ila wengine ndio wanamwangusha. Kwa CCM mtu pekee ambaye labda naweza kumpa kura yangu ni huyu jamaa..
So far Mwigulu anaongoza, kisha Wassira ladt yule wa jana.
Mawazo yangu
daaah nikiwaza hilo tu, haya yote yanabaki kuwa burudani nyingine kutoka ccm.
Vijana wakipata nafasi wakapata wazee wa kuwashauri vizuri naamini wataleta mabadiliko.Lowasa,Wassira,Membe,Pinda,Mwandosya,Slaa,Lipumba hawa wote wameshafika miaka 60.Ngoja tuwasikilize kina January,Ngeleja,Kigwangala na Nyalandu
Vipi mkuu upooo?
Akiwa Raisi atatekeleza,angalau ameweza kukemea RUSHWA hadharani na kusema walarushwa wote watakwenda jelaNi kweli anaongea point
Tatizo utekekezaji
Teh Teh UKAWA imekula kwao mazima....
Hadi namba za simu.Ila alitoa sharti la kuchukua kadi ya magamba baada ya kujiandikisha, halafu ikitokea mikutano atakua anatutafuta.
Nikishapata kitambulisho atanichukiaje? Hizo chenga atakoma mwenyewe.
Mmmmmmh!
...tunatakiwa kupeana changamoto maisha yaendelee
Rushwa:Hakuna kuleana tena safi sana bora Mwigulu unarudisha heshima kwenye CCM