As much as I hate CCM to the bone, ila Mwigulu hayo anayoyaongea ni ukweli mtupu na yanatoka moyoni mwake,haigizi kama wengi mnavyodhani.Mnakumbuka wakati wa Bunge la Katiba alipoishauri serikali kuahirisha mchakato wa katiba ili kuokoa fedha zitakazopotea bure?Alikuwa peke yake aliyetaka mchakato usimamishwe mpaka pale muafaka utakapopatikana.The guy is a real deal but the problem is his party, it will never award him a Presidential candidacy kwasababu tayari old guards wanaofahamu misimamo ya Mwigulu.Anaweza kuwapeleka wengi magerezani.Hata JK mwenyewe hawezi kukubali kuona Mwigulu anakuwa rais,anajua yanayoweza kuja mbele.