Lowasa hana tofauti kabisa na Kikwete,JK alikuwa na timu nzuri sana(Rostam,Makamba,Sita,Salva,Lowasa,Kinana) .Lowasa team yake ndio itakayomwangusha (Tibaijuka,Karamagi,Mahanga,Mlaki,Kapuya,Msabaha,Chenge,Bashe) hawa karibia wote wana scandal za ufisadi
Kwa nini mkuu?nipe sababu za kutaka kujua jinsia yangu
Kaka nilishamuwahi mimi huyu kiumbe
Kwani hawa si wametoka kifungoni?au unajitoa akili?
akili zetu watz ndogoMkuu Kwa hii timu ni unafiki Wa siasa tutakuta watangazania nao wanajiunga na hii timu
Yaani hawa watangaza nia ni kama vile wanatuambia kuwa kabla ya siku ya leo hawajawahi kuwa wana CCM.
Gamba la tatu hiloo.sijuwi kesho anafuata nani.mpaka sasa sijaona wa kukamata moto wa Ukawa. Hawa wote watatu saizi yao Salum Mwalimu anawatoa knock out.
r.i.p komba nyimbo zake zinaishi , please mpelekeeni mjane kiasi cha mboga mumewe kaacha hazina kwenu ccm ....
​Ha ha ha sawa kabisa!!!!!!Wewe ni Mojawapo ya madaktari wezi Ngariba mkubwa wewe
Inaonyesha wewe una duka la dawa nje ya hospitali ya serikali tunakufuatilia utuambie dawa unanunua wapi?
Kwa mara ya kwanza Mwigulu nimempenda...
Madaktari ni wezi sana wa dawa,,tena sio kufungwa tu INATAKIWA MNYONGWE KABISA,Mnasababisha vifo vya watu kwa kolukosa dawa mahospitalini.