Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Lowasa hana tofauti kabisa na Kikwete,JK alikuwa na timu nzuri sana(Rostam,Makamba,Sita,Salva,Lowasa,Kinana) .Lowasa team yake ndio itakayomwangusha (Tibaijuka,Karamagi,Mahanga,Mlaki,Kapuya,Msabaha,Chenge,Bashe) hawa karibia wote wana scandal za ufisadi

Jogoo Chenge yupo team haiwezi shindwa Hata CCM wanasema Jogoo akiwa mambo tayari. Swazi Jogoo akikataa kuweka kitakucha au la!
 
Nadhani baada ya huo mkutano kila aliyehudhuria alipewa kopo la rangi,sasa kazi ni moja tu kuchafua kuta,madaraja na kingo za barabara kwa kwenda mbele...!!
 
Hotuba ya mwigulu ilijaa vitu vingi vya uhongo na vya kufirika. Huyu Dogo ni bonge la opportunist. Anajinadi yeye ni maskini Ape we ridhaa kwani watz tumestuka Hawa maskini ndo wezi aibu. Pinda yuko wapi na escrow ya singasinga. Mwigulu anajidai Leo anaiponda serikali anatuzuga muhuni huyu
 
Wanachojua watz kuhusu dawa ni kidogo sana,mimi ni mtumishi.

ktk hosp yetu hatujanunua dawa kwa mwaka mzima kwa kukosa fedha,tatizo la dawa sio wizi,na kama wizi upo basi ni kwa kiasi kidogo saana,mwaka mzima hatuja nunua dawa,utaiba nini......kuendesha hosp ni gharama kubwa saana....kwa mwaka mzima tumeishia kununua vifaa tiba,mfanya biashara wa dawa ana fulsa ya kupata dawa sehemu yoyote tz na nje ya tz,taasisi za serikali zinapata dawa MSD,orodha ya dawa Zinazopatikana MSD ni ndogo saana ukilinganisha na zilizoko kwenye market,kwenye market kuna Blister park kwa sasa, za serikali ni loose na nyingi ni zile za bei poa....niishie kusema watz wanajua kidogo saana kuhusu hili swala la dawa,na wangejua zaidi nadhani pangewaka moto......
 
Tatizo la Mwigulu Madelu Nchemba ni mashairi ya majigambo...
Hajawahi kuwa na dira wala muelekeo.... Hata atambikie hawezi kuwa presidential material!!
 
Inawezekana kabisa kuwa Mwigulu kakosea sehemu flani lakini, nimefurahia sana jinsi alivyo na vision kwa ujumla wake. huwezi kuwa tajiri usipokuwa na nidhamu na matumizi. Otherwise uwe fisadi. mwisho wa kusilsha
 
Wizi wa madawa upo ila hospitali sio mkubwa kam hasara inayopatikana kwa kuwa na mkataba mbovu na MSD au bohari ya madawa
 
Hotuba ya Mwigulu itakuwa imemzimisha Lowassa ndiyo maana Team Lowassa hawaonekani hapa watakuwa kwenye kazi ya kumzindua msukule wao.
 
Inaonyesha wewe una duka la dawa nje ya hospitali ya serikali tunakufuatilia utuambie dawa unanunua wapi?

Usiwe mvivu wa kufikiri.....kila sekta ukienda tatizo ni bagdet finyu,ukienda police utaambiwa hatuna mafuta,ukienda mahakamani unaambiwa kalete karatasi wakuaandalie nakala ya hukumu,ndivyo ilivyo kwa sekta ya afya,mfanya biashara anatengeneza faida kwa biashara yake,atatafuta popote duniani....serikali inategemea kupata dawa MSD na ifahamike tatizo sio upatikanaji wa dawa,dawa zipo sokoni,tatizo ni fedha.,....
 
Back
Top Bottom