Lowasa hana tofauti kabisa na Kikwete,JK alikuwa na timu nzuri sana(Rostam,Makamba,Sita,Salva,Lowasa,Kinana) .Lowasa team yake ndio itakayomwangusha (Tibaijuka,Karamagi,Mahanga,Mlaki,Kapuya,Msabaha,Chenge,Bashe) hawa karibia wote wana scandal za ufisadi
Jogoo Chenge yupo team haiwezi shindwa Hata CCM wanasema Jogoo akiwa mambo tayari. Swazi Jogoo akikataa kuweka kitakucha au la!