The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Tukio sio la sherehe ya kweli hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mchungaji ni wa kanisa gani?
Ana mke mzuri sana.
Mke wake anafaa kuwa first lady,,halafu hajapora mke wa mtu
Vyama vya upinzani vijifunze demokrasia toka ccm sasa
Duh huyu MC sijui kala maharage ya wapi anamsifia sana MwiguluMC kama kalewa pombe vile! Ona wewe wale Mabahai walisali mchana kutwa mungu wao ashushe moto ila ziiii na Gideon alifanya nn unakumbuka? Haturembi sisi
Mke wake anafaa kuwa first lady,,halafu hajapora mke wa mtu
mke wake amenishika pabaya kwa urembo.
Na yule tuliyemfumania naye Igunga saa saba mchana huoni kama mke watu kwa vile nyie makada wa ccm mmezoea kutafuniwa wake zenu.
Mwigulu na Lowasa wako vizuri
Mke wake anafaa kuwa first lady,,halafu hajapora mke wa mtu