Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya ccm hata ashuke malaika atatoka akiwa shetani.
Ameshakujibu, hahaha...Mwl hakuwahi hata kuwa naibu waziri alitokea kufundisha tu lakini mpaka leo anapigiwa mfano, Mwigulu ni kiboko, natamani sana amuunge mkono Lowassa apewe uwaziri mkuu.
Dakika za mwishoni Mwigulu Nchemba anaungana na kambi ya Lowassa.Teh Teh UKAWA imekula kwao mazima....
Mchumi katika ubora wake aisee,ana maono ila mfumo ndiyo janga,ngumu kumwamini unless aende upinzani
Eti anajiita Sokoine....bloodfull
Kwani nimesema kipi cha ajabu hadi ugune?