Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Leo Mwigulu amegusa mambo muhimu kwa watanzania,ingawa Mimi si mfuasi Wa Ccm kamzidi hata Lowasa katika kutoa hotuba na kuelezea matatizo yakwe Watanzania,hadi sasa namuona Mwigulu yupo vizuri kuliko Lowasa

kweli kabsa
 
Leo Mwigulu amegusa mambo muhimu kwa watanzania,ingawa Mimi si mfuasi Wa Ccm kamzidi hata Lowasa katika kutoa hotuba na kuelezea matatizo ya Watanzania,hadi sasa namuona Mwigulu yupo vizuri kuliko Lowasa

Kweli kula like5
 
Jamani huyu anaimbisha siyo Mwaitege? Hizi pambio za kanisani zinatumika vibaya
 
Kwa mara ya kwanza Mwigulu nimempenda...
 
Tunaimani na wewe




Sauti za watumbuizaji......🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎸🎸🎸🎸🎸
Namwona Martha Mwaipaja naye yupo anamwimbia Mwigulu
 
Katika mikutano yote ya kutangaza nia sijaona wake za hawa watangaza nia wakitoa hata ka speech kadogo ka kuwaunga waume zao mikono katika safari zao.
Sijui shida ni nini.

wa mmu humu twatambuana kwa comment zetu, lazima mapenzi, mahusiano na urafiki vizingatiwe
 
naibu katibu mkuu wa chama analialia kama vile ndo leo kaingia kwenye chama,hajasema hata moja alilofanya zaidi ya kusema nipo kwenye chungu nayajua haya,KWANI ULIPELEKWA HAZINA KUPELELEZA
 
kwa ufupi mm nitakua tofauti na Uzi zinazozungumzia juu ya kutangaza nia. utofauti wa Leo ni kama barak Obama 2008.
kijana, anaejua matatizo yetu, mkombozi, bila shaka tumempata sokoine wa pili kwa dhamira, nia, uthubutu.
ukiisoma historia ya Nchemba unawazungumzia asimilia 90% ya watanzania.
viva Mwigulu Aluta continua
 
Ile kofia ya Generali wa Kichina aliitupa wapi? Jamaa ana matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom