matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Gamba la tatu hiloo.sijuwi kesho anafuata nani.
Kesho ni zamu ya Makongoro Charles.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gamba la tatu hiloo.sijuwi kesho anafuata nani.
Leo Mwigulu amegusa mambo muhimu kwa watanzania,ingawa Mimi si mfuasi Wa Ccm kamzidi hata Lowasa katika kutoa hotuba na kuelezea matatizo yakwe Watanzania,hadi sasa namuona Mwigulu yupo vizuri kuliko Lowasa
Leo Mwigulu amegusa mambo muhimu kwa watanzania,ingawa Mimi si mfuasi Wa Ccm kamzidi hata Lowasa katika kutoa hotuba na kuelezea matatizo ya Watanzania,hadi sasa namuona Mwigulu yupo vizuri kuliko Lowasa
Labda chama kipasuke.. Atabaki huko maana hadi sasa uwaziri anao kama CCM itashinda
Mgombea wa ccm mpaka sasa bado ajaongea, anawachora tu awa.
Namwona Martha Mwaipaja naye yupo anamwimbia MwiguluTunaimani na wewe
Sauti za watumbuizaji......🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎸🎸🎸🎸🎸
Katika mikutano yote ya kutangaza nia sijaona wake za hawa watangaza nia wakitoa hata ka speech kadogo ka kuwaunga waume zao mikono katika safari zao.
Sijui shida ni nini.
Kesho ni zamu ya Makongoro Charles.
Jamani huyu anaimbisha siyo Mwaitege? Hizi pambio za kanisani zinatumika vibaya
Kwa mara ya kwanza Mwigulu nimempenda...