Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

M
ilichukua kama muda gani Ku rise hiyo capital mkuu??

Hongera sana unao uthubutu kwakweli
muda mrefu mkuu maana ,mtaji ulikuwa mdogo ,kiasi kwamba ilinibidi kupunguza baadhi ya matumizi ambayo siyo ya lazima ili niendelee kuishi mjini
 
Kwa kweli ufike mbali maana ,nimeanza kufanya biashara nawe mzigo unanitumia mpaka huku mpakani Tunduma bila shida.
 
Duh aisee Mungu amsaidie
 
Nimejaribu kukucheki whatsApp haupatikani
 
Poa tu, hizo dagaa utaziuza kisomi, hata kupata mkopo unatumia usomi wako. Kuwa na nidhamu ya pesa utatumia usomi wako. Usomi wako utakufanya utathmini kipato chako kwa siku, na baadae kupiga hatua katika biashara kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…