Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Simba ni nani hata wasipigwe bao na Singida?

Mtaniambia baada ya dk 90 za mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Simba ni nani hata wasipigwe bao na Singida?

Mtaniambia baada ya dk 90 za mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]


Kumbe Unaitwa madabadaba ?? Sikushangai Sana Kudhani Simba itafungwa lakini Nakwambia Haki Ya Nani Singida anararuliwa Kabla ya Jua Kutua.
 
duuuuu yaani nafungulia karedio gooooooooooooooo hahahahahah
 
Mwehhhh nimesikia makelele nani huyo ni mnyama au shemeji zetu singida united mwehhh!
 
simba 1 singida 0
kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi AzamTv huwa hawaoni umuhomu wakuwajulisha watazamaji wao kama mechi Ni Live au Recorded?

Wapuuzi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…