madabadaba
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 288
- 178
Simba ni nani hata wasipigwe bao na Singida?
Mtaniambia baada ya dk 90 za mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaniambia baada ya dk 90 za mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni nani hata wasipigwe bao na Singida?
Mtaniambia baada ya dk 90 za mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]
Kisa Jana umedraw leo umekuja kishabik huku enhee?Mie nipo hapa sibanduki mpaka hatua ya mwisho.
Yaani niko Singida United leo. [emoji85].Kisa Jana umedraw leo umekuja kishabik huku enhee?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Simba ni mboga ya singida [emoji1] [emoji1]Kumbe Unaitwa madabadaba ?? Sikushangai Sana Kudhani Simba itafungwa lakini Nakwambia Haki Ya Nani Singida anararuliwa Kabla ya Jua Kutua.
Mtahama sana Team Mwaka Huu ila Singidan wanachezea Mbili Swaafiiiii mnarud kulima AlizetiYaani niko Singida United leo. [emoji85].
Lazima Mnyama akae. Hahahaaa.
Hahaaa. Hadi zifike dk 90 ndio nitaamini unachokisema.Mtahama sana Team Mwaka Huu ila Singidan wanachezea Mbili Swaafiiiii mnarud kulima Alizeti
Ha ha ha ha ha leo utaondoka first half tu wala sina haraka na weweHahaaa. Hadi zifike dk 90 ndio nitaamini unachokisema.
Hahaaa. Nipo hapa sibanduki.Ha ha ha ha ha leo utaondoka first half tu wala sina haraka na wewe
Mnyyyyyamaaasimba 1 singida 0
kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Embu Naomba matokeo ngap ngap?Hahaaa. Nipo hapa sibanduki.
Umeme umekatika huku [emoji12] [emoji12]. Niulizie basi halafu uniambie.Embu Naomba matokeo ngap ngap?
Yaani leo mnyama analiwa live [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaani niko Singida United leo. [emoji85].
Lazima Mnyama akae. Hahahaaa.
Umeonaeee. Na dk 90 ndio zitaongea.Yaani leo mnyama analiwa live [emoji12] [emoji12] [emoji12]