Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

bwigane anasema okwi ANAFINYA
emmanuel-okwi-simba_18fzqe1471ngp1wfzf8ugdrgy7.jpg
 
wanunuaji wakuu wa mechi: simba, yanga na azam..nyie nunueni tu tuwasifie mkikutana tp mazembe tuone aibu yenu
Kama mechi zinanunuliwa na maneno basi usiache kuongea na wewe utanunua mechi,ila kama zinanunuliwa na pesa basi saka pesa
 
Yani huku Liverpool, Hapa Simba, kule Barcelona...

Mungu kaamua kutupupendelea mwaka huu...

Hapo kwa Barcelona nilikuwa siyo mshabiki sana, ila sasa kwa sababu Suarez na Coutinho wako huko, sina jinsi inabidi niwapende tu.

Maana X wako huwezi kumchukia.
 
Back
Top Bottom