Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Oooh ulipiga chabo ulivyogeuka kwa mbele ila wananuka jamani nilikuwa nasukwa na wamasai wa3 jamani harufu
Tehteh tehh...kuna kitu umenikumbusha

Kuna siku nasuka sangita kwa mmasai hapo TRA mwenge...basi kamaliza kusokota za mbele, akaniambia " rafwikii geuza singo yako kwa mapaja yangu" duuh nikageuza shingo kumuinamia huko chini uvundo c uvundo chupi hajavaa ( ndo nikajuaga kumbe masai wana dyudyu mbili[emoji23] )

Ila ile harufu toka nizaliwe sijawahi isikia popote dunia hii
 
Hebu tumtafute Mshana Jr atueleze vizuri kama pale kuna ulozi au maigizo. Ukiangalia vizuri utajua hakuna lolote kwenye hiyo klip. Kwanza Mganga aliyeko kilingeni hana swaga wala mzuka wa kiganga. Pili, mafukizo, mafusho na vibuyu haviendani na kile kinachofanyika. Kama ni kuaguliwa basi mteja alikuwa anaibiwa, nampa pooooole sana
Nakuja na post yake
 
Mhhhh ya kweli haya unaweza ukawa wa ziwani ila na wasiwasi una vinasaba vya Tanga na hivi wazee wa zamani hawajui kupima DNA kwanini nasisimuka nikisoma comments zako ? Si ndio ulikuwa unatumia ID Genverous sijui kama nimeiandika vizuri ?
[emoji23] [emoji3] Mimi wa Kusini hukooo!!!Ziwani!!
Mimi na Dingi DNA toshaa!!

Ndo Mimi nilichange motion kidogoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tehteh tehh...kuna kitu umenikumbusha

Kuna siku nasuka sangita kwa mmasai hapo TRA mwenge...basi kamaliza kusokota za mbele, akaniambia " rafwikii geuza singo yako kwa mapaja yangu" duuh nikageuza shingo kumuinamia huko chini uvundo c uvundo chupi hajavaa ( ndo nikajuaga kumbe masai wana dyudyu mbili[emoji23] )

Ila ile harufu toka nizaliwe sijawahi isikia popote dunia hii
Wana mbilii....?!![emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Mjini kwenye utoto tu ,baada ya hapo tulirudi Arusha ndio tukaenda porini ,unakatwa bila ganzi wanawake wamekaa kwa mbali ukitingisha upaja tu ni disqualified ,ukifanikiwa kukaza mpaka mwisho wakina mama wanapiga vigelegele ,uanaume wangu nimeugharamia ndio maana nimesikitika kufananishwa na mwanamke .
Hata wadada nao si dondosha wembe?
 
Mhu
Mimi nilifikiri 'Mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana!'.

Kumbe shetani keshapewa urithi wa kudumu?kwa hiyo mzee baba wewe hutafuti pesa kabisa kwa vile ni ya shetani?Au unaishije hapa duniani?
Mkuu Ms.Lincoln hili soma la pesa ni mali ya nani, ni refu sana mkuu, nikianza kukuhubiria hapa nitaharibu huu uzi. Lakini kwa kifupi tu ni kwamba dunia na vyote viijazavyo ni mali ya MUNGU ndiyo, lakini Ibilisi Shetani "alishajimilikisha" kila kitu.

Ushahidi kuwa shetani kajimilikisha vyote ni ile siku alipomchukua YESU na kumpandisha juu ya mlima mrefu na kumwonyesha milki za dunia na fahari yake yote kisha akamwambia kama ukinisujudia nitakupa fahari yote hii. Sasa YESU hakumbishia Shetani na kumwambia dunia ni mali ya MUNGU, bali alisema tu; "imeandikwa tumsujudie MUNGU peke yake".

Sababu YESU hakubisha kuwa dunia na fahari yake ni mali ya shetani, hii inaleta maana kuwa dunia na fahari yake ni mali ya shetani, tena YESU mwenyewe alisema itakuwa rahisi kwa Ngamia kupenya kwenye tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia kwenye Ufalme wa MUNGU. Isitoshe YESU alipoulizwa kuhusu kulipa kodi, aliwauliza je, pesa ina muhuri wa nani na picha ya nani? Wakamjibu kuwa ina picha na muhuri wa Kaisari, YESU akasema basi yaliyo ya Kaisari mlipeni Kaisari, na ya MUNGU mpeni MUNGU.

Maneno hayo ya YESU yanatosha kukuonesha kuwa Pesa ni mali ya Shetani na siyo mali ya MUNGU. Tena fahamu kwamba siku zinakuja Shetani ataichukua pesa yake yote na ataanza kuwapiga watu "muhuri" au "alama"(kwasasa hivi amezuiliwa kwa muda) na kila atakayetaka kuitumia pesa ni lazima awe na huu muhuri au hii alama, yaani "666".

Sasa ukitaka kujua kuwa pesa ni mali ya shetani, watu wa MUNGU wameambiwa kuwa wakati shetani atakapoanza kuwatia watu wake mihuri(666), wao wavumilie tu mpaka kufa, maana hakuna jinsi zaidi ya kuvumilia kama ni njaa au chochote kile, wavumilie mpaka mwisho.

Kuhusu mimi kutafuta pesa, ni kweli mimi nafanyakazi zangu na ninapata pesa ya kula na kubadilisha mboga, lakini sijisumbui kuutafuta "utajiri" na "ufahari wa dunia hii". Kuna tofauti kubwa sana ya "kula kwa jasho" na kujisumbua "kuutafuta utajiri na ufahari" wa dunia. Kumbuka hata YESU mwenyewe alikuwa "fundi Seremala" na alikuwa anapata pesa za kumudu maisha lakini hakuhangaika kuutafuta UTAJIRI. Hivyo fahamu tofauti ya kufanyakazi na kutafuta utajiri.
 
Back
Top Bottom