Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora


Endelea kujitekenya tu....
 
...endeleeni kujiliwaza, ile ngome yenu kongwe leo imevurugwa vibaya sana eroo watu wanataka mabadiliko tu,no more kelele..
 
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?

 
Last edited by a moderator:
ccm msijidanganye mwaka huu hamtoki mmeona Tanga leo au hamjaona,lowasa ni tishio kubwa kwa kuwa kura nyingi atazipata kutoka ccm pia
 
Hao watu wa Iringa wameyasema hayo wapi na ni watu wangapi?

Usipumbazwe na wingi wa wahudhuria mikutano...
 
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?

wewe ni popoma uliyelaaniwa kama wote ni maiti watarajiwa uhalali wa kumuita maiti mwenzie kaupata wapi?
 

Siyo Magufuli anayeng'ara ni wasanii wanafuatwa hapo. Kama una akili utatambua hilo. Mwaka huu bao la mkono halipo
 
Safi sana...hata wana Arusha tumemsubiri kwa hamu tumpe baraka zetu.

Viva Magufuli vivaaaa...

Anakonga sana roho za watu ..tunataka wachapa kazi kama yeye alivyo
 
Fiesta continues...
 
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!

Kweli Nape kiazi mbatata yaani mtu aibe Wizara zote, mmemwacha hadi kupanda cheo kuwa waziri mkuu? Ina maana basi ndani ya CCM wizi ni sifa ya kupandishwa cheo? Ndio maana tunataka watoke madarakani. Yaani nimemsikia leo Nape anatia huruma ukiambiwa ni katibu mwenezi wa pumba ndani ya chama.
 
Mtaongea sana lakini rais ni lowassa na ukienda sehemu yoyote ile ukiwakuta hata watu kumi ukipiga kura haraka utaona mshindi ni lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…