Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Hakika wataisoma namba. Ikulu wataenda kunywa juice tu
 

Ubarikiwe Mkuu, kila kilicho kwenye giza kitawekwa kwenye Nuru
 
sijawahi kuona kiongozi "mbumbumbu" kama huyu kijana. Anasema Lowassa akiwa makao makuu aliiba. Akapelekwa AICC - Arusha nako akaiba. Akapewa Uwaziri na baadae U-PM pia akaiba.
Hivi "Mwizi" hupandishwa vyeo ?! Kijana huyu ni "MBUMBUMBU"
 
Napeee asipojiangalia ata. .R.I.P. Awaulize karibu ilala na.kombaniii midomoo iyooo
 
kwa hiyo kikwete aliteua waziri mkuu mwizi? inawezekana hata jk ni mwizi.
 
Mmmmmmh! Mbona Mimi Naona Upo Nae Humu Humu JF Muda Wote a.k.a 24/7? au ID Yake Huijui Mkuu? Itafute Tu Vizuri Na Utaijua ILA Nakuhakikishia Kuwa Yupo Humu Kila Wakati Na Isitoshe Ni Mchangiaji Na Muanzishaji Mzuri Tu Wa Threads Mbalimbali Humu.

Natamani I'd take niijue nipambane nae USO kwa network....anavojidaigii kama haji kufaaa walaiiii mshambamshamba flani ivi
 
Mbona leo alikua Iringa tena kaongea mbovu sana juu ya Lowassa kasema Lowassa ni MAREHEMU hawezi kwenda Ikilu 😷😷 siasa zimefika mbali jamani duu.

Hata mi nimeisikia kwa masikio yangu, sio vizuri kutoa maneno kama yale. Yeye ana ubia gani na Mwenyezi Mungu hadi ajue anakufa lini!!!
 
Natamani I'd take niijue nipambane nae USO kwa network....anavojidaigii kama haji kufaaa walaiiii mshambamshamba flani ivi

Jitahidi Tu Kumtafuta Humu Na Utampata Tu Na Nahisi Hata Hii Post Yako Ameisoma Na Subiria Majibu Yake Murua Muda Si Mrefu.
 
Aiseee,jaman baada ya uchaguz kuna maisha wadau....kwani Lowassa anaumwa nini???maana tunaambiwa anaumwa anaumwa,anaumwa anaumwa.Edo anaumwa nini????
 
hakuna mtu mjinga dunia kama nape.Wamekabwa kila kona wanakurupuka na mipovu mdomoni imewajaa.ole wao wafanye udanganyifu uchaguzi huu kitaeleweka tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…