Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015


Leo ndiyo nimeamini kabisa maneno ya Mkapa, tena na mimi nnaongezea, licha kuwa ni wapumbavu wanaoshadidia lile gonjwa lichaguliwe, pia ni mazumbukuku na mapunguani wa hali ya juu.

Jana kajidai ataongea akiwa amekaa kwa kuwa yeye "mrefu" sana, mikono akashindwa kunyanyua kusalimiana na wasanii, leo wamemweka aongee dakika za majeruhi ili avunge muda hautoshi.

Hivi hawa watu wa aina gani jamani?

Kwa niliyoyaona, 100% Mbowe kapiga pesa na anajuwa huyu hafai, wanachofanya pale ni maigizo ya kumridhisha tu kwa kuwa washalamba mshiko.

Najaribu kufikiria huyu mtu kweli angegombea kupitia CCM tungemtetea vipi?
 

Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.

1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.




 
Nampenda LOWASSA kwanza mstarabu sana na mcha Mungu, pili mpole na mnyenyekevu sana, TATU anawapenda Watanzania wote katika hali zao zote, nne yuko tayari kutuletea MABADILIKO ya kweli.
 

Sasa wewe unataka waongee haya kwani wewe ndio unaepanga wao waongee nn?
Au ndio umewaandalia ilani yao ya uchaguzi.
Acha kutaka kila ukipendacho kifanywe na watu usioshahabiiana nao kwa mawazo.
 
Mh.kwashindwa kujieleza atawafanyia nn WA Tanzania;nimesikia hoja moja tu ya Elimu bure mpaka chuo kikuu bila ya kutueleza vyanzo vya mapato vya kugharimia elimu hiyo kati ya matatizo lukuki yanayowakabili WA Tanzania,habari za babuseya namashekh sio matatizo na wala co ishu ya maendeleo.Mwisho kasema hotuba take tutaisoma kwenye mtandao he wtz wangapi wanapata Huduma hiyo?
 

kama mlilijua kuwa hilo hivyo kwa nini sherehe za jangwani.
 
Tumekuelewa bi mdogo Wa lowaaa
 

We chizi tokea mnaimbiwa hayo mashairi umefaidika na nini zaidi yakapanuliwa iyo midomo kuongea sana sio jadi ya watu wastaarabu jiongeze acha ufala jamaa yenu anaogea sana uko hadi sauti zinaisha kisa
 

Hatuwashangai mwisho wa mwezi huu madeni na kodi za nyumba zinawasumbua
 
Uchaguzi uliopita nilimpigia SLAA,mwaka huu nampigia MAGUFULI. Ukawa walikosea sana kumsimamisha huyu mgonjwa.
 

Hii picha alikua na JK akacheka sana JK alipomwambia "Du Pombe wewe ni kiboko, unasema mbele unatosha na nyuma unatosha!"
 

katika siku niliyowaonea huruma ni leo, kwakweli mbowe atabeba lawama zote, kwenda kumkata mtu safi na mwenye uwezo dr slaa kwa ajili ya mtu weak kiasi hiki!!!!!, mfahamu kabisa mmeshapoteza uchaguzi huu
 
Mkuu hizo ndo summary za ilani yenu. Usimaind sana. Tatizo ni uwezo finyu wa mgombea wenu.
Kaaazi kweli kweli

ilani tutaipest huku kama utavikuta hivyo ulivyo sema tuombe kheri
 
Kiukweli lofa sumaye kaonyesha upumbavu na ulofa Wa kiwango cha Juu leo
 
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.

1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…