Kublai
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 307
- 68
Hajaongea juu ya
1.Barabara
2.Umeme
3.Maji
4.Uvuvi
5.Viwanda
6.Watumishi
7.Rushwa/Ufisadi
8.n.k
Kaongelea
Babu seya, Balali,ATC, Utalii n.k alafu katumia sekunde 2 kwa kila jambo
Ameongelea vipaumbele tena kwa kifupi kutokana na muda. Na vipaumbele vinakuwa vichache ndio maana vinaitwa vipaumbele. Sio kama wale wenzetu wenye vipaumbele 20 na ahadi mia na ushee. Kampeni hazijaisha ndio kwanza zimeanza na Dar atarudi mara mbili. Na amekuambia kipaumbele cha kwanza, cha pili, na cha tatu ni elimu. Amekuambia ukaisome uelimike. Get it?