mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Umeandika ujinga, thread kama hizi ni za kupuuzwa
Kwamtoro - ikiana! Unamwelezaje Mh Sumaye kukana wajibu na madaraka ya Waziri Mkuu! Unamwelezaje huyohuyo Mh kuisema vibaya serikali aliyoitumikia akiwa yeye ni kiongozi wa pili toka juu!