Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

UTENDAJI NI SUALA LA MUHIMU ZAIDI KULIKO MANENO,AHADI AU SERA, mfano CCM wamekuwa na ilani kabisa na sera nyiingi lakini haiwanufaishi watanzania.
 
Hebu tuambie, kipi cha maana Lowassa kasema leo?

Kasema 1.Elimu bure(akiweza hapa tu bac sekta zote ztakuw imara) na c la kwanza had kdato cha 4 2.Mabadlko ya kilimo 3.Alshasem viwanda vtafufuliwa 4.Sekta ya afya km kawa. Km hujui kusoma ht picha huon!
 
nimemsikiliza kwa dk 10 alizoongea sijasikia Sera zake ni zipi zaidi ya kuomba kura, kuahidi kumuachia babu Seya na Masheikh wa Zanzibar pamoja na Balali, then akishafanya yote hayo maisha bora yanapatikanaje, halafu sera yake ni elimu, elimu, elimu..ha ha mwaka huu mtaisoma namba, mtu mwenyewe hana hata stamina hawezi kusimama dk 30.
ofauti
Mwaka huu mnalo tu, na bado mpaka Lowasa aingie Ikulu. Hizi ni zama tofauti. Hatutaki maneno memngi, hayo tumeyasikia sana.
 
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.

1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.

11951204_1068783333154019_992321555451370143_n.jpg

Aah kumbe ni wewe bwana kidevu tena??? Naona kila new post ya kusifia ccm na kuponda upinzani ni yako na ziko nyingi....sikulaumu lakini mapenzi yako kwa ccm yasikufanye ujitoe ufahamu kiasi hiki
 
mimi ni ukawa damdam pia namkubali saana lowasaa na kura yangu kashaipata kitambo kwasababu lowassa ni mtendaji na mfatiliaji mkubwa wa mambo ila shida moja tuu ni kwamba kwenye speech jamaa bado hajajipanga vizuri.. ombi langu ni moja tuu kwa viongozi wa ukawa ebu tujaribu kumpanga mzee vizuri kwenye speech...bse wananchi wanaitaji kusikia sera ya chama yoote na sio summary

Katika mkutano uliopita Lowassa aliongea mambo mengi tu kama ulifuatilia, pamoja na kutangaza sera na isitoshe pale tayari Sumaye na wagombea wengine walishaongea sana.
 
UTENDAJI NI SUALA LA MUHIMU ZAIDI KULIKO MANENO,AHADI AU SERA, mfano CCM wamekuwa na ilani kabisa na sera nyiingi lakini haiwanufaishi watanzania.
Kama ni utendaji basi ni magufuli Lowasa hana utendaji wowote wa maana.
 
Leo ndiyo nimeamini kabisa maneno ya Mkapa, tena na mimi nnaongezea, licha kuwa ni wapumbavu wanaoshadidia lile gonjwa lichaguliwe, pia ni mazumbukuku na mapunguani wa hali ya juu.

Jana kajidai ataongea akiwa amekaa kwa kuwa yeye "mrefu" sana, mikono akashindea kunyanyua kusalimiana na wasanii, leo wamemweka aongee dakika za majeruhi ili avunge muda hautoshi.

Hivi hawa watu wa aina gani jamani?

Kwa niliyoyaona, 100% Mbowe kapiga pesa na anajuwa huyu hafai, wanachofanya pale ni maigizo ya kumridhisha tu kuwa waashalamba mshiko.

Najaribu kufikiria huyu mtu kweli angegombea kupitia CCM tungemtetea vipi?

Wewe si ulisema Dr Slaa fisadi
Haya sasa msafi wako Lowassa amekuridhisha??
 
UKAWA YA GONGA KISIKI JANGWANI, LOWASSA AIZIKA CHADEMA

Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.

11951204_1068783333154019_992321555451370143_n.jpg

Umesahau madawa ya kulevya yanayosafirishwa kupitia Tz, faini ya kutowalipa wakandarasi, pesa zinazoliwa kila siku.
Acha kuburuzwa
 
Ushabiki wenu mnajitoa akili.
 
Lowasa ni mwanasiasa wa kutumia pesa hana hoja wala hana siasa za hoja yeye ni rushwa tu.

Wala rushwa na mafisadi wamebaki CCM ila wanalindana,kila Mtanzania analijua hilo hivi sasa.HATUDANGANYIKI TENA.
 
Ngoja nitafute sehemu yenye jenereta manake kitecno changu kimeshalia alam afu tanesco washafanya yao toka alfajiri
 
Nyie hamna sera wala ilani. Mmebakia kumjibu Rais Mtaafu Benjamin Mkapa kama vile yeye anagombea Urais.

Trh 25 ndo itaamua km 2na sera au la! km 2010 Slaa aliwatia jamba jamba kwa mafurko sembuse Tsunami. Mtaisoma tu.
 
Wakuu salaam. Nikiwa mtanzania wa kawaida kabisa ambaye napima mambo ya kisiasa kwa vigezo vya msingi kuliko ushabiki, hatimaye nimejiwekea mambo machache tu na ya kawaida kabisa ambayo UKAWA na Lowassa wanatakiwa kuyafafanua leo ili nijenge imani kwao. Mambo haya ni :

1. Kwa kuwa Lowasa kati ya mwaka 1997 na 2000 alikuwa akiiongoza wizara ya kuondoa umasikini, alifanya nini kinachompambanua kwamba anachukia umasikini? Hapa mfumo si hoja yenye tija sana kwa sababu mifumo mibovu ina kawaida ya kuwajenga viongozi bora kwani hujipambanua wazi wazi.

2. Kati ya mwaka 1993 na 1995 Lowassa alikuwa akiiongoza wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi, alifanya jambo gani la kumtofautisha na watendaji wengine? Wananchi wamkumbuke kwa lipi katika wizara hiyo ambayo ilikuwa maalum kuhakikisha wananchi wanapata makazi bora na kuondoka katika dimbwi la umasikinttti.

3. Mwaka 2000 - 2005 huyu mheshimiwa aliongoza wizara ya maji na mifugo. Ninachotaka kujua ni kwa nini katika kipindi chake cha uongozi migogoro ya wakulima na wafugaji ilizaliwa. Ni dhahiri kuwa ni wakati huu wafugaji walipata nguvu ya kuvamia maeneo ya wakulima na kusababisha tatizo ambalo limekuwa sugu hata leo.

UKAWA kwa upande wao naomba watueleze ni kwa nini tuendelee kuwaamini iwapo wamerudi kukanusha yale waliyotuaminisha hata tukawapenda.

1. Vita dhidi ya ufisadi. CHADEMA walijipambanua kama wapiganaji wa kweli dhidi ya ufisadi. Hii ndio sera ambayo bila ubishi iliwapatia umaarufu mkubwa.

CHADEMA wasimame na kukiri hadharani leo kwamba yale waliyotuaminisha kwa muda mrefu juu ya ufisadi ni uongo. Haitoshi tu kusema Lowassa hakuwahi kutueleza ukweli kuhusu Richmond. Hii ni ushahidi kuwa Chadema si chama makini hata kidogo. Kinaendesha siasa za kitapeli kwa malengo binafsi.

Tena msamaha huu uende mbali zaidi kukiri kuwa yale mliyokuwa mkijidai kuwa ni ushahidi mzito mlionao ulikuwa uongo ili kupata huruma ya wananchi.

2. CHADEMA ikiri na kuomba radhi kwa watanzania kwa kitendo chake cha kukiuka misingi kiliyojiapiza kuisimamia na kukanyaga demokrasia. Msamaha uombwe dhidi ya dharau na kejeli walizofanyiwa waliokipigania chama hata kukifikisha hapo kilipo. Mchakato wa kupata wagombea katika ngazi za urais na ubunge umegubikwa na sintofahamu kiasi cha kusababisha mgawanyiko wa kisiasa. Intelijensia ya CHADEMA imekuwa juu ya matakwa ya wananchi.

3. CHADEMA iombe radhi kwa utapeli wa kisiasa ilioufanya dhidi ya mauaji ya Olasiti. Ule mkanda unaoonyesha wauaji wakitekeleza mauaji hayo umeota mbawa. Hizi ni siasa za kitapeli. Kutafuta huruma za wananchi kwa hila.

4. CHADEMA wafafanue mipaka ya mashirikiano yao na CUF hasa linapokuja suala tata na nyeti kwa maslahi ya nchi la sera ya ULIBERALI. Watanzania tumeaminishwa na CHADEMA kwamba CUF wanasimamia ushoga na wanauunga mkono. Naomba CHADEMA waelezee msimamo wao, ama waombe radhi kwa kuwazushia uongo CUF.

Haya ni baadhi ya masuala ya msingi sana ambayo natarajia mkutano wa leo wa UKAWA utayatolea ufafanuzi.

Tujadili kwa hoja, matusi mwiko. Lizaboni, RIZ1, et al

Alijitahidi sana kwa maelekezo na rasilimali zilizoandaliwa na ccm
 
Back
Top Bottom