Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Lowasa kweli Hanazo. Yaan atakachofanya tukimchagua na kumtoa babu seya na kumfufua balali !!! Hizo ndo sera za UKAWA. Huyu mzee kweli mgonjwa jamani

Kutoka ndani ya moyo wako ni hayo tu ndo kasema?
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!

kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA aliingilia kazi ya nani... au alikua jaji kipindi hicho
 
huyo ndiye mzee wa maamuzi magumu sinema ya Balali inarejea
 
Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.

Mkutano wa uzinduzi kabisa?
 
Warehouse umepotoka executive ndio wanaocarryout punishment hivyo wanayopower ya kuwaive punishment

Nawasiwasi hujui mihimili ya serikari na kazi zake! Una elimu gani, na umesomea hapahapa Tz! maana ata kweny somo la Civics primary tunafundshwa!
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!

Wewe kwa mawazo yako wale masheikh na huyo Seya wako kule kwa nguvu ya mhimili wa mahakama? Kama hujui nyamaza. Ila ujuwe wale nao ni binadamu, huwezi tesa watu kwa vile unanguvu ya mhimili wako wa dola. Kama mtu kagegeda mkeo sii mwache mkeo? Au kama huwezi mwacha kapigane na mgoni wako ngumi sio kutumia ofisi uliyopewa na wananchi kulipizia kisasi. Ebo!
 
unquenched thirsty! if you want to beat them in their game dont play by their rules!UKAWA LEO MMEANGUSHA SHAUKU ZA WENGI

Mimi sijawa disappointed kwa sababu aina ya hotuba aliyotoa Lowassa ndiyo nilitarajia. Sijui wangapi watasoma kwenye website ya CDM!
 
Yaan Lowasa anataka tumchague ili amtoe babu seya!!!! Yaan hio ndo sera ya kumpeleka ikulu. Kweli huu ni uchiziiiii.... Huyu jamaa anawaaibisha UKAWA.......
 
Back
Top Bottom