Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Niko na vijana wa ukawa hapa mbezi kwa msuguri, wamekata tamaa kabisa na lowassa leo,walikuwa wanategemea leo ndo siku yake ya kumwaga sera, wamenyongea mno! Hadi nimewahurumia. Wanasema wote wanahamia ccm kesho, wanashangaa ni sifa zipi alizonazo lowassa hadi chadema wakafikia kumsimamisha kugombea uraisi!!! Hawezi kujieleza kabisa
 
watu wameshazoeea kusikia rundooo la uongoooo here is simple but clear
 
Lowasa huwa hana maneno mengi kama yule chiriku yeye ni mzee wa maamuzi magumu yaliyo sahihi

Ni kweli tunataka mtu anayesema yale atakayo tenda sio mzungumzaji wa masaa matatu maneno ya uongo.
2010 jamaa yetu mkulu kule Tabora alisema weee mpaka akaahidi kuwaletea meli watu wa Tabora ili kurahisisha usafiri wao kwenda Mwanza. Watu wakabaki midomo wazi.
 
Mpumbavu ni wewe,
Hiyo mihimili mingine iko chini ya nani?
Rais ni mkuu wa nchi nzima kama hujui.

Rudi primary ukarudie kusoma somo la Civics we gwanda afu ndo uje ubishane na sheria..!
we ni mpunbavu na lofa, maana uelimiki..!!!
 
Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.

Mkutano wa uzinduzi kabisa?

Lowasa tayari ni rais wako penda husipede maana mamilioni zaidi ya 20million wameamua kumchagua lowasa
 
Mmezoea porojo na ahadi hewa...kasome kwenye tovuti. Nani anapoteza muda kusikiliza...umesikia kasema elimu bure hadi chuo kikuu na bado kasema afya na kilimo. Mmejisahau hata hamtaki maendeleo
 
Duh
Ccm Inakufa Mchana Kweupe
Sasa Ukipewa Tovuti Kuna Ubaya Gani?
 
Hawa Ndo Wanaojinasibu Wataleta Mabadiliko?Hawajaelezea Hata Kimoja Kitakachoweza Kutatua Matatzo Ya Watz,hawa Ndo Tuwape Kura?Dah Ccm Mbovu Ila Hawa Wabovu Zaid,hawana Mipango Hata Sera Zero...Et Mim Niende Nkasome Kwenye Website Wkt Mda Walikua Nao Wakutueleza!!
 
1.Nitamtoa babu Seya.
2.Nitamleta Balal.
3.Nitawatoa ndani mashekh wa Zanzibar.
Na still bado tuakamshangilia kwa vifijo na vigerere.
Hivi babu Seya na Balal pamoja na hao mashekh wa Zanzibar watahusika vipi kuimarisha uchumi wetu na kutuondolea umasikini?
Je watashusha bei ya umeme,chakula,mafuta,sukari nk?
Ahsante mzee Mkapa,sasa nimekuelewa.
Sisi ni wapumbavu na malofa!!!
Ngoja niwahi usafiri wa kurudi kwangu Ukonga maana nimevurugwa sana na huyu mzee na ninajuta kuja jangwani leo!!!
 
Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.

Mkutano wa uzinduzi kabisa?

kwetu vitenda ndo muhimu... maneno mengi na maigizo ya kinana peleka bongo movie
 
tatizo si waandishi wa hotuba,tatizo lowasa hawezi ongea mda mrefu.sasa sijui huko UN atakua anawakilisha nani,

kwakweli ni shidah
 
Nafikiri Lowasa bado hajayajua matatizo ya wananchi, akazunguke sokoni tena

Dr Slaa hapa Ndipo anapohitajika Jamani Kweli CCM wanasema hakuna kukopa mazao ya wakulima yeye anasema atakopa atalipa kwa riba Jamani jamani
 
Binafsi nimebaki na maswali mengi sana ya kujiuliza.Ni watu wangapi waliomwelewa Lowasa?.Lowasa ameonyesha udhaifu wake wa afya na wa kuongea, neno moja anajazia peopleees sijasikia sera hata moja wala sijasikia lolote la maana kutoka kwake. Natambua kwamba mkutano wa leo jangwani ilikuwa maalumu kwa ajili yake kujinadi na kunadi sera zake matokeo yake analeta habari za mtandao je ni watanzania wangapi wanaoweza kuingia kwenye website ya CDM na kuisoma hiyo hotuba!
Kama Ukawa hawatabadili system ya mgombea wao,mgombea wa Chichiem ataendelea kuaminiwa na wananchi walio wengi!
 
Back
Top Bottom