Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Mbowe ameshindwa kabisa namna gani amsafishe fisadi mamvi

Fisadi Lowassa hasafishiki, wanajaribu kupindisha ukweli kwa kumtolea mifano ya kina Kawawa, lakini hasafishiki. Kiongozi pekee aliyekuwa na uwezo wa kumsafisha mamvi ni Dk. Slaa!
 
Mkuu hata wewe leo ni mshauri wa UKAWA? Haya tumekusikia uje ingawa nafasi hakuna ukamueleze mwenyekiti wenu zile picha anazozionaga ni genuine hakuna za kuungaunga, wenzake wanamdanganya, ni historia mpya hapa jangwani hata Papa John Paulo wa pili hakujaza nyomi kama hii miaka ile ya 90.

Asante...
 
Du kumbe chadomo wamebaki wa5 tu mbeya mr chakaza mmekwisha na sugu wenu

Are you talking to me? Sasa ulitaka mapokezi ya huyu jamaa,
ImageUploadedByJamiiForums1440859398.084222.jpg
Watu wa Chadema wawe barabarani? Hao ni wenzake ndani ya CCM, ndio maana alisema naomba wale wa peoples wanipe kura.
 
Duuh viongozi kweli wana tu chezea sumaye ata aibu hana... mh mbona shida tu
 
Hahahaha Rais hana cha kusema ameandika hotuba kaiweka kwenye website someni huko.... Asante Mr president
 
Pigo la kwanza bavicha kasomeni hotuba kwenye website ya chadomo. Mzee anasingizia muda kumbe charge haitoshi.
 
Mbona watu wanaanza kuondoka wakati Lowasa ndio kwanzaa anaanza kuhutubia?
 
Anadhani wapiga kura wake wote ni wa humu JF kiasi kwamba wana access!!! Tatizo sio muda mbona bado unatosha kama ni kuisoma tu
 
Back
Top Bottom