Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

tulia dozi ikuingie vizuri

ungependa pia asprin?

3X6A6344.jpg

Wala hanisumbui ndiyo kwanza narelax na popcorn na glass ya wine.
 
Ndio maana nikasema hakukuwa na haja ya Sumaye kuzungumzia ishu ya Ugonjwa wa Lowassa...

Hoja ya ugonjwa wa mtu ni mfu...Haina mashiko hata kidogo...

Wakati mwingine inabidi utoe ufafanuz kwa maada ambazo zinapotoshwa hata kama ni jambo au mambo ya hovyo!
 
Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....

Mkuu hata wewe leo ni mshauri wa UKAWA? Haya tumekusikia uje ingawa nafasi hakuna ukamueleze mwenyekiti wenu zile picha anazozionaga ni genuine hakuna za kuungaunga, wenzake wanamdanganya, ni historia mpya hapa jangwani hata Papa John Paulo wa pili hakujaza nyomi kama hii miaka ile ya 90.
 
Lowasa anasema ana matatizo kidogo na mda umekwenda.Sasa aende moja kwa moja kwenye ilani
 
Mbona nyie mnapoteza muda mwingi sana kumsema mzee wetu? Ebu muwe wavumilivu mnapolishwa ndimu.

Neno LOfa na Mpumbavu limewaumiza sana!mkutano mzima mnajadili kauli mbili tu!!kweli nyie CCM B maana hamna mpya
 
Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....

tAMBWE ALIKUA MWENEZI CUF AKAENDA KUWA MWENEZI CCM HIVYO ANAWAJUA CCM MNO NA ANAJUA SIASA ZA MAJITAKA HASA ASEME NINI KANDA YA PWANI CCM MNAKAZI ,KIJANA USIPOTEZE MUDA FUATILIA MKUTANO WA MAGUFULI NJOMBE KAPATA WATU 120 NENDA KAWASAIDIE ACHANA NA UKAWA WANAJITAMBUA UTAPATA HEART ATTACK
 
Back
Top Bottom