Magufuri ni zaidi ya mgonjwa,anaendaga kufanya nini?sumaye huyo anatoa siri za viongozi wa ccm
Wanaumwa hahaha
Magufuri ni zaidi ya mgonjwa,anaendaga kufanya nini?sumaye huyo anatoa siri za viongozi wa ccm
Kweli UKAWA wameshindwa kabisa kutumia uwingi huu wa watu kutuambia watatufanyia nini?!kweli CCM inajua kucheza na akili za watu!wanajadili kauli ya Warioba na Mkapa tu
BTW Tunashukuru kwa kutujulisha kua Lowasa ni mgonjwa
Huyu Sumaye anaiharbu chadema bila kujijua, kwa kauli yake amethibitisha kwa ina kuwa low-hasa ni mgonjwa kweli.
Kwani huyu ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vinavyoundwa Ukawa? Msije mkawa na nwana ccm bila kujijua, maana hajarudisha kadi yake ya ccm, na wala hajapokea kadi ya chama chochote cha upinzani, kikatiba na kisheria, huyo ni mwanachama wa chama alicho na kadi yake, that's mean ni ccm. Kweli kaja Kuiimarisha ccm ndani ya ukawa
Tundu lisu
Duuuh sumaye ni mzandiki na mnafiki sijawahi kuona..leo anamsifia lowasa ambaye alisema akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm angehama chama..!
Hapo kama kakuelewa niite mimi pimbi. Kwake yeye yote sawa tuu. Uwezo wa hawa wenzetu uko chini sana.
ubora wa kuwaambia watu ukweli
Kwa maelezo ya Sumaye ni kwamba Lowassa ni mgonjwa kweli...Kasema hata Mkapa na Kikwete wamewahi kwenda kutibiwa ulaya....
Kwamba ukiwa Rais hauendi kubeba zege...Unakuwa na wasaidizi wako tu....
duni hajji ana vijembe duuuuu.!!
Kweli leo tutajua ukweli. Sasa ni saa 11.20 na hajakaribiahwa!
Sumaye kawamaliza ccem
ngoja tusubiri just few minute to go!