Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Sumaye anamaliza uhondo mda unaenda

Leo hakuna namna

itabidi kuvusha muda kama magamba walivyofanya

3X6A6344.jpg
 
Kiukweli amechemka!badala ya sera na ilani wao wana Repeat vikao vya bunge lililopita!kwa kampeni hii Magamba wanawazidi kete!tunataka kusikia watatufanyia nini wakifika ikulu!taarabu hatutaki

Sumaye anamsafisha Lowassa tu

Kwani Lowassa mchafu???
 
Kumbukumbu zangu zinasema Balozi Mwapachu katoa tofauti nyingi tu kuwa Magufuli ni manager na EL ni leader, now Sumaye anasema ikulu ni kazi ya kumeneji tuu. UKAWA mhh
 
Kuna jipya katika hayo anayozungumza?..

Mi naona anamharibia zaidi Mgombea Urais....Lowassa..

Kuanza kutoa mfano wa Kawawa kubeba mizigo ya Rais Nyerere na kwamba na Lowassa naye alibeba mzigo ya Rais Kikwete ni hoja ya hovyo kabisa...

Anaonesha jinsi gani scandinavia inamkanganya moyoni! kama Rais ni meneja,Lowassa akiwa pm mbona alikoroga mambo..jamaa kaishiwa ndio maana mchujo ulimhusu!
 
Kampeni za kichochezi na kashfa

Ni kama ilivokua kwa ccm mida kama hii ilani ilikua bado.Kuchafuana naona imekua tabia ya wanasiasa wengi sijui kwanini hili la kuchafuana hata halina chama naona wote ni ivoivo .
 
Back
Top Bottom