hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 529
- 318
mbezi huku wamekata wangese sanaaa
Mwandiko wako unatatanisha hueleweki. Futa na uandike upya
Inabidi aulizwe Sumaye hilo swali maana anatumia nguvu nyingi kupangua shutuma na tuhuma zinazomkabili ngoyai badala ya kueleza sera
Mpaka sasa sijaona kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kujilizaliza tu.
Huyu Sumaye anaiharbu chadema bila kujijua, kwa kauli yake amethibitisha kwa ina kuwa low-hasa ni mgonjwa kweli.
Kwani huyu ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vinavyoundwa Ukawa? Msije mkawa na nwana ccm bila kujijua, maana hajarudisha kadi yake ya ccm, na wala hajapokea kadi ya chama chochote cha upinzani, kikatiba na kisheria, huyo ni mwanachama wa chama alicho na kadi yake, that's mean ni ccm. Kweli kaja Kuiimarisha ccm ndani ya ukawa
Mpaka sasa sijaona kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kujilizaliza tu.
Mpaka sasa sijaona kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kujilizaliza tu.
Akili ndogo uliyonayo inakufanya uwe na jazba. Bisha kwa hoja matusi peleka ukawa au nyumbani kwako hapa tuachie ma great thinkers tukufundishe siasa. Usiwe bendera fata upepo.
Sasa umelqzimishwa kuwasikiliza?
Hilo ndio tatizo lao, wanachokiweza wao ni kupika majungu.
Sumaye leo katika ubora wake aise. Duh!
Magufuri ni mpango wa mungu kaka
Sumaye anakoroga mafaili,anajikanyaga kuilaumu CCM,Huwezi wauliza wananchi maswali ya kijinga...maswali ya bungeni!..raia wanashangilia bila kutafakari...mambo anaongea uzandiki Kama CCM ina ngozi mbili ye na Lowassa ni ngozi ngapi?
Kwani Lowassa ni mgonjwa?Ukweli ni kwamba Sumaye anambomoa Lowassa badala ya kumbeba...
Hakuwa na haja ya kuzungumzia ugonjwa wa Lowassa