Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kama mgombea wa urais lupitia ukawa atahutubia wananchi kwamudamfupi kwa kutumia visingizio mbalimbali kama lutanguliza waongeaji wengi nk ili watumie muda mwingi nayeye kuonge muda fupi atakuawa amejaliza. Kama ataongeakwa muda wa zaidi dakika 45 basi atakuawa kweli ameanza kampeni vizuri.muda usiwe kisingizio.

Ngiri wewe
 
Dah...!
Sasa CCM imewekwa mnadani. Kila mtu achukue kilicho chake. CCM ndio imefika mwisho wake rasmi!
 
...Tanesco leo! kweli hili ni bao la mkono!
 
Diamond kapata tuzo ngapi? teh teh teh

Kiukweli amechemka!badala ya sera na ilani wao wana Repeat vikao vya bunge lililopita!kwa kampeni hii Magamba wanawazidi kete!tunataka kusikia watatufanyia nini wakifika ikulu!taarabu hatutaki

Sumaye anamsafisha Lowassa tu
 
Hadi sasa naona mnawaongelea ccm tu, hamna sera. Tunasubiri sera zenu sasa, kama hamwapendi ccm Mbona mnawaongelea sana? Binafsi huwa simuongelei adui yangu maana kwa kufanya hivyo unampandisha chati adui yako

Tunacho kitabu chenye sera za ccm mkononi, tunasubiri sera za ukawa tulinganishe, maana so far mnataka kuingia ikulu bila kuwa na cha Kufanya,mnaenda Kunywa juice? #HapaKaziTu

Sera zenu ni kuiba kama mlivyoiba ela za escrow
 
Sumaye ana akili sana laiti watanzania wangepewa nusu ya upeo wake leo hii ccm ingekua kwenye vitabu vya historia tu.
Sasa hizo akili zake zilikuwa wapi siku zote?...

What if angepitishwa na CCM?...Angekaa nayo haya?
 
Leo Mbowe amesema alikusudia atoa sadaka lakini sadaka hiyo ataitoa kwingineko katika katika mikutano ya Ukawa.
Ni sadaka gani hiyo? Au ni ile ya Soweto kule Arusha au Daudi Mwangosi kule Iringa?
hivi umetembelea kaburi la mama yako karibuni inaelekea laana inakwandama
 
Ukweli ni kwamba Sumaye anambomoa Lowassa badala ya kumbeba...

Hakuwa na haja ya kuzungumzia ugonjwa wa Lowassa
 
Back
Top Bottom