Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kwani Lowassa ni mgonjwa?

Kwa maelezo ya Sumaye ni kwamba Lowassa ni mgonjwa kweli...Kasema hata Mkapa na Kikwete wamewahi kwenda kutibiwa ulaya....

Kwamba ukiwa Rais hauendi kubeba zege...Unakuwa na wasaidizi wako tu....
 
Sijaona anaenadi Ilani zaidi ya vijembe, au wanajua Malofa tunataka blah blah tu.
 
Tusiwe na mapenzi na vyama kiasi cha kusema nyeupe ni nyeusi.Siku ccm wanazindua kampeni zao walichukua mda mrefu sana kwa miziki na kwaya ilani ilisomwa baadae sana na ndo nnachokiana ukawa.
Walianza bodaboda wakaja mwakilishi wa walemavu, akaja mwakilishi wa machinga vyote ivo vilichukua mda sana mpaka kufika mda wa ilani.
 
Yaleyale yaliyozungumzwa kwenye kitchen party ya millenium tower ndo yanarudiwa leo hakuna jipyaa
 
sumaye jembe sanaa jaman kawachana nakuwaacha uchi ccm

Sumaye kaonesha udhaifu utafikiri hajawahi kwenda shule hajui majukumu ya rais,aende akamwulize Nkurunzinza/Obote kwa nini nchi ilichukuliwa wakati hayupo,Alafu aende kenya akamwulize mh.Uhuru na Ruto
 
Duni ameanza kwa KATIBA.

Stay tuned

Katiba ambayo mgombea wao wa uraisi aliipigia kura ya NDIO na jina lake litakuwa kwenye kitabu cha dhahabu.

Aliipitisha hiyo kaitiba hata mwaka haujapita, anajifanya ataibadilisha, kama vile anamapenzi na wananchi angeikataa kama alivyofanya mwanasheria mkuu wa Zanzibar, alisimamia alichoamini, Mamvi anasimamia tumbo lake kwa gharama ya masikini
 
Back
Top Bottom