Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Babu Duni..pamoja na mambo mengi tutakayofanya ikulu mojawapo ni katiba..la pili ni tume ya maridhiano kufunga vitabu vya uhasama
 
Akili ndogo uliyonayo inakufanya uwe na jazba. Bisha kwa hoja matusi peleka ukawa au nyumbani kwako hapa tuachie ma great thinkers tukufundishe siasa. Usiwe bendera fata upepo.

hata hivyo magufuli ana mashati mazuri sana-hicho tu ndio namkubali
 
Mi sio mwanachama wa chama chochote ila kwa uchambuzi mdogo tu naona ukawa wakijipanga wanaweza kuongoza nchi
Kuna vichwa vyao kama msigwa kafulila mdee mnyika salim mwalim
Km ukawa wakichukua nchi na wakawapanga vzr hawa watu wanaweza kuongoza nchi ikaenda
Wazee km sumaye watumike ktk ushauri tu
Wanaja jf hebu kwa upande wenu nitajieni watu wengine waliopo ktk ukawa wanaoweza kutumika ktk serikali ya ukawa
 
Hivi hakuna live streaming maana tunakosa uondo wengine tuliokuwa safarini

please saidia link hapa tafadhali
 
Wewe ni Linamo au limao? Richmond tumeshaambiwa ni ya mkulu na yeye hajakanusha sasa uelezwe nini tena? Waliomwita Lowasa fisadi awali walikuwa Chadema, yeye kesha wajibu na wameridhika kuwa makosa hayakuwa yake sasa inakuaje wimbo wa kale wa chadema ndio unaimbwa na CCM sasa hivi?
Kama waliyajua hayo mbona kwa miaka minane walikaa kimya na wao ndio wenye vyombo vyote vya dola? Tulieni mkamuliwe tuu. Ndio maana hata Magufuli alipokewa kwa style ya aina yake Mbeya.
View attachment 281763
Vidole viwili akaishia kucheka mpaka kukaukiwa sauti

jamaa anaroho ngumu, hana ata aibu... angeingiza kidevu chake ndani ye anajichekesha tu wakati watu wanahasira na mabadiliko!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu Sumaye anaiharbu chadema bila kujijua, kwa kauli yake amethibitisha kwa ina kuwa low-hasa ni mgonjwa kweli.

Kwani huyu ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vinavyoundwa Ukawa? Msije mkawa na nwana ccm bila kujijua, maana hajarudisha kadi yake ya ccm, na wala hajapokea kadi ya chama chochote cha upinzani, kikatiba na kisheria, huyo ni mwanachama wa chama alicho na kadi yake, that's mean ni ccm. Kweli kaja Kuiimarisha ccm ndani ya ukawa
amewajibu ccm,wamepata majibu yote kawaacha uchi.
 
Hakika Lowasa ni chaguo la mungu na chaguo la watanzania,hiyo imetibithika baada ya waziri mkuu wa zamani mhe. sumaye kumsafisha mgombea urais wa chadema,mhe. Lowasa na kumwombea kura za ndio toka kwa wananchi.hakika lowasa rais ajaye wa awamu ya 5.
 
Mi sio mwanachama wa chama chochote ila kwa uchambuzi mdogo tu naona ukawa wakijipanga wanaweza kuongoza nchi
Kuna vichwa vyao kama msigwa kafulila mdee mnyika salim mwalim
Km ukawa wakichukua nchi na wakawapanga vzr hawa watu wanaweza kuongoza nchi ikaenda
Wazee km sumaye watumike ktk ushauri tu
Wanaja jf hebu kwa upande wenu nitajieni watu wengine waliopo ktk ukawa wanaoweza kutumika ktk serikali ya ukawa

Hawawezi.....njaa tu
 
Kweli UKAWA wameshindwa kabisa kutumia uwingi huu wa watu kutuambia watatufanyia nini?!kweli CCM inajua kucheza na akili za watu!wanajadili kauli ya Warioba na Mkapa tu

BTW Tunashukuru kwa kutujulisha kua Lowasa ni mgonjwa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom