Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Yaani anaongea Duni Haji kisha anafuata Tambwe Hiza??
Mkuu, hoja ya ugonjwa sio ya maana hata kidogo! maisha ya binadamu hayatabiriki na ndio maana daima tunafanya kazi bila hata kujali kuwa tutakufa wakati wowote!Ukweli ni kwamba Sumaye anambomoa Lowassa badala ya kumbeba...
Hakuwa na haja ya kuzungumzia ugonjwa wa Lowassa
Si walisema Sumaye si lolote?Sasa leo anawabomoa kweupeeee
Babu duni na kuingua chadema kisanii! karopoka "sisi cuf"
Tambwe Hizza is BACK??????
Ndio maana nikasema hakukuwa na haja ya Sumaye kuzungumzia ishu ya Ugonjwa wa Lowassa...Mkuu, hoja ya ugonjwa sio ya maana hata kidogo! maisha ya binadamu hayatabiriki na ndio maana daima tunafanya kazi bila hata kujali kuwa tutakufa wakati wowote!