Mbega Daniel
New Member
- Jul 16, 2015
- 4
- 0
Ya leo kali
ukweli kuhusu fisadi hasa ni nani
Inabidi aulizwe Sumaye hilo swali maana anatumia nguvu nyingi kupangua shutuma na tuhuma zinazomkabili ngoyai badala ya kueleza sera
Mkuu nasikia mgombea ana dakika 5 tu za kuelezea Ilani!Na mpaka sasa hiyo ilani ya uchaguzi bado haijaelezwa na mgombea wa urais.
Kweli Lowasa mgonjwa! Ataongea dakika ngapi?
Duni kataja vine cha kwanza katiba ya wananchialiyewaelewa anisaidie!! maana wanachofanya si kampeni ila ni taarabu kwa ccm,kila mzungumzaji anamtaja mtu..so what ukawa?? wekeni vipaumbele bana!
Wanapunguza muda si unajua hawezi kuongea muda mrefu.
Kweli Lowasa mgonjwa! Ataongea dakika ngapi?