Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Jamani kwa hii kampeni ya leo nawashangaa sana CHADEMA.
Sijawahi kuipenda CCM na sifikirii ila na kwa kampeni ya leo kweli Tanzania ina WAPUMBAVU wengi. Si CHADEMA, si CCM.
Kote wamejaa WAPUMBAVU TU.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.

Point!!
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!

tulia dozi ikuingie

attachment.php
 
Lowassa anasema ya balali analitambua....mmmhhhh hii sasa inaweza kua ni balaa sasa...kwa kauli yake hii ni wazi kua balali is alive!
 
Warehouse umepotoka executive ndio wanaocarryout punishment hivyo wanayopower ya kuwaive punishment
 
Back
Top Bottom