Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Bado Lowasa hajakonga nyoyo kwa kuinadi ilani vizuri
Pigo la kwanza bavicha kasomeni hotuba kwenye website ya chadomo. Mzee anasingizia muda kumbe charge haitoshi.
Amesahau vipaumbele vya CHADEMA hadi akumbushwe. Yeye ana vipaumbele vyake kikiwemo cha kumtoa babu Seya ambaye aliharibu watoto wa watu!Nyie mbweha mliokua mnalalamika hamsikii vipaumbele hvyo hapo sasa....
Swala hapa sio picha. Nadhani unanielewa.tulia dozi ikuingie
![]()
Mpumbavu ni wewe,Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!
Lowasa nimeamini kweli ni mgonjwa hata zungumza yake tu inadhihirisha
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!