Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Yaani siku ya kutembea uchi ndio unakutana na baba mkwe!yaani leo nilitegemea watazima moto kwa hoja na sera!ni asilimia chache sana ya watu wanaoweza kutumia internet wakapata taarifa!leo unaniambia nifate sera kwenye Website nikasome?

Mama ntilie walio wengi hajui hata hiyo website ni nini!boda pia hajui website ni nini na anaipataje!leo Wananchi wameitika tena kishindo kikuu halafu mnapoteza muda kiasi hicho

Kweli bado hamjajipanga kuingia ikulu kabisaaa kwa mwendo huu,siasa chafu kuliko za CCM
 
unquenched thirsty! if you want to beat them in their game dont play by their rules!UKAWA LEO MMEANGUSHA SHAUKU ZA WENGI
 
Licha ya kumsubir kwa masaa zaid ya manne mh lowasa kapiga kampen kwa dak 15 pekee, sijaamin kama anataka kuongoza nchi au kitongoji?
 
Nauliza tu. Hivi watanzania wangapi watasoma hotuba ya Lowassa kwenda tovuti ya CDM?
Uzinduzi wa kampeni ya UKAWA umeisha kwa anti climax
 
Sasa nimefahamu kwanini cdm wamemchukua sumaye, yani sumaye ameongea muda mrefu kuliko mgombea wenu. Sasa watanzania wamejionea lowassa ni hovyo.
 
Jamani kwa hii kampeni ya leo nawashangaa sana CHADEMA.
Sijawahi kuipenda CCM na sifikirii ila na kwa kampeni ya leo kweli Tanzania ina WAPUMBAVU wengi. Si CHADEMA, si CCM.
Kote wamejaa WAPUMBAVU TU.
Mkuu tukubali watu wameichoka ccm, ila sio kama ukawa Lowassa ni bora.!
 
dah naomba kazi ya kumuandikia hotuba lowassa for free nadhani chadema wameshindwa ktk sector ya hotuba kwa kiongozi wetu nimekuwa very very very disappoint on that dah
 
Lowassa amehutubia dakika 11 yaani kuanzia SAA 11.41 hadi saa 11.52. Hakika hawezi mikikimikiki ya kwenda IKULU.
Kwa hili watanzania tujifunze.
 
Back
Top Bottom