Yaan Lowasa anataka tumchague ili amtoe babu seya!!!! Yaan hio ndo sera ya kumpeleka ikulu. Kweli huu ni uchiziiiii.... Huyu jamaa anawaaibisha UKAWA.......
unazungumzia mstabali wa Watanzania miaka 50 mbele kwa dakika 10 za kuzungumizia bab seya
Labda kwa wale wageni hapa JF wanaweza kudanganywa na huu utumbo wako!WanaJF,
Nipo njiani kuelekea nyumbani kwangu nikiwa natoka hapa viwanjwa vya jangwani.
Kusema ukweli, siku ya leo nilitaka kumsikiliza ndugu Lowassa kwa umakini mkubwa sana, ili kama nikishawishika nimpe kura yangu.
Lakini kwa masikitiko makubwa sana ndugu zangu wanaJF, nimeishia kuambulia website ya CHADEMA!!!
Shauku yangu kubwa ya kupata mabadiliko kupitia UKAWA imeyeyuka ghafla, kwa mantiki hiyo, sina budi kuwapa CCM kura ya urais kwa kuwa bila shaka yoyote nilitathmini yale aliyosema Magufuli na nikaona yanatekelezeka.
Kwa wale ambao hamkupata fursa ya kwenda jangwani, nawahakikishia kuwa hamjapoteza lolote. Sisi tuliokuwa hapa jangwani tumeondoka vichwa chini, Lowassa ametuangusha tena kwa mara nyingine.
Babu seya amelawiti watoto halafu huyu lofa anasema atamtoa, amtoe yeye ni mahakama? Na akisha mtoa itawasaidia nini watanzania? Kweli ukawa wamechemsha.Sasa ndio nimeelewa kwanini ccm walimpiga chini.
Hv Kwel Sera Ni Kuwatoa Masheikh Kwel?Babu Seya Kwel?
Bora kuwa muwazi kuliko kuidhurumu nafsi yako, watu tumechoka ccm ila Lowassa bado hajakidhi matarajio ya wengi.
Ila kwa sababu ccm imechokwa hakuna namna.!
Mkuu hao walikuwa wameishahukumiwa na mhimili wa mahakama? Babu Seya amepitia Mahakama ya Hakimu Mkazi akakutwa na hatia, akaenda mahakama kuu akakutwa na hatia na akaenda mahakama ya Rufaa akakutwa na hatia; amemaliza stages zote za kimahakama.kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA aliingilia kazi ya nani... au alikua jaji kipindi hicho