Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kweli siku za Mwizi ni Arobaini.
1. Lowassa hana Kipaumbele
2. Lowassa aendelea kuonyesha udhaifu wa uongozi wake.
3. Adai kumleta Balali.
4. Adai kumwachia Babu Seya.

UKAWA washindwa kumwaga Sera, wa bakia kumjibu Rais Mkapa. Kumbe Mkapa amewateka akili ukawa.

Ipo wapi ilani ya Ukawa?
 
Mpaka aibu mnaona wana ukawa.....kiukweli mmepwaya sana.....chama kimeonyesha hakina dira leo mnatueleza tukasome Kwenye wepsayte hivi mwananchi wakawaida huo mda anautoa wapi nani wangapi wanatambua au wanauelewa wamatumizi ya mtandao hiyo....kiukweli mmetia aibu ya mwaka....
 
Asalam aleikum
Tumsifu yesu kristu
Bwana yesu asifiwe
 
Yani is very dissappointing.Eti hotuba ipo kwenye website nyie wasomi alah.

UKAWA mmetuangushaaa

Narudi kwa Magufuli.
 
Tatizo tumezoea kuambiwa ya uongo mengi kwa miaka mingi,hayo ndio mabadiliko yenyewe,maneno mengi bila utendaji tuwaachie ccm nami nimehama rasmi,nimempenda hakutukana hakusema anayajua matatizo yetu hakujibu matusi,amewapa heshima ccm kwa kusema serikali ya wakubwa zetu,vipaumbele amevisema bila jazba fupi amejali muda MUNGU awe nae
 
Mzee anaumwa hayupo sawa hadi wananchi wanamkumbusha ilani. Tatizo la watanzania wengi.
 
Kuhusu masheikh na babu seya ndio Kasema atawashughulikia na atawatoa... Kwa upeo wa haraka hawakustahili kuwapo kule walipo sasa... Tumia akili unapotoa post usiwe wakurupuka kama Mkapa
 
tulia dozi ikuingie

attachment.php

Aseme tena photoshop
 
Hukuelewa au hutaki kuelewa?Kasema kipaumbele ni Elimu, elimu bure kutoka msingi hadi chuo kikuu. Hii hukuisikia?Katoa vipaumbele vyake kama atapata ridhaa ya wananchi nothing else.
 
Sina Hofu Na Ukawa Najua Itachukua Nchi Tu Hotuba Haina Msaada
 
Amesema sote ni wasomi hivyo hotuba yake tutaisoma kwenye mtandao! Kama hauna simu kubwa imekula kwako.
 
Hawa Ndo Wanaojinasibu Wataleta Mabadiliko?Hawajaelezea Hata Kimoja Kitakachoweza Kutatua Matatzo Ya Watz,hawa Ndo Tuwape Kura?Dah Ccm Mbovu Ila Hawa Wabovu Zaid,hawana Mipango Hata Sera Zero...Et Mim Niende Nkasome Kwenye Website Wkt Mda Walikua Nao Wakutueleza!!

Mbona Sumaye katukanwa na Makongoro yeye anawatukana wengine? Kwanini asimjibu Makongoro
 
Yaani CCM itatutawala mpaka Yesu arudi kama wapinzani wenyewe ni hawanaoongozwa na watu wakubadilisha gia angani.... Tumewekewa placebo tu, hakuna wapinzani na mwaka huu tumejua rangi zao!
Kuanzia sasa kuelekea uchaguzi mkuu sidhani hata kama hao CCM wanahitaji kutumia goli la mkono. UKAWA wamejifunga wenyewe. Upinzani haututendei haki watanzania kwa kuendekeza uroho wa madaraka. Kuna kitu hapa hakipo sawa kabisa.
 
Yaani angesema haya maneno yeriko nyerere au tumaini makene au arusha one ningeelewa, ila wewe gamba sishtuki, kwani magufuli alisema sera ipi, si yale yale tu, ulikuwa umefunga masikio mh. Lowasa aliposema vipaumbele vyake ni elimu, elimug, elimu??? Mwaka huu mtabadilisha id, mtanyooka tu.
 
Back
Top Bottom