Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Tunahitaji vitendo cyo ngonjera ,watz wamezoea wadanganye kwa maneno mengi ndiyo waamini,mabadiliko hayazuiliki.
 
Lowa sasa ni dhaifu, hawezi kuwa Rais hatutaki ya zambia yatokee Tz marais wenye afya mgogoro kufa kufa wakiwa madarakani
 
Nilikwisha sikia nikaweka akilini kutoka kwa mgombea wa ukawa, tofauti na vyama vingine; 1.Bawacha watapelekwa Ngurudoto mara baada ya ushindi, 2.Ataiamuru mahakama iwaachie watuhumiwa wote walioko rumande wawe huru. Huyo aliyekataliwa na Sumaye wakiwa wote CCM.
 
1.Nitamtoa babu Seya.
2.Nitamleta Balal.
3.Nitawatoa ndani mashekh wa Zanzibar.
Na still bado tuakamshangilia kwa vifijo na vigerere.
Hivi babu Seya na Balal pamoja na hao mashekh wa Zanzibar watahusika vipi kuimarisha uchumi wetu na kutuondolea umasikini?
Je watashusha bei ya umeme,chakula,mafuta,sukari nk?
Ahsante mzee Mkapa,sasa nimekuelewa.
Sisi ni wapumbavu na malofa!!!
Ngoja niwahi usafiri wa kurudi kwangu Ukonga maana nimevurugwa sana na huyu mzee na ninajuta kuja jangwani leo!!!

Kama hayo ndiyo uliyoyasikia pekee wewe ni mpumbavu zaidi ya nilivyokuwa nakuchukulia.

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Hawa Ndo Wanaojinasibu Wataleta Mabadiliko?Hawajaelezea Hata Kimoja Kitakachoweza Kutatua Matatzo Ya Watz,hawa Ndo Tuwape Kura?Dah Ccm Mbovu Ila Hawa Wabovu Zaid,hawana Mipango Hata Sera Zero...Et Mim Niende Nkasome Kwenye Website Wkt Mda Walikua Nao Wakutueleza!!

nyie mlioongea mengi kipindi cha maisha bora kwa kila mtanzania mmefanya nini kipya mpaka sa hizi!!? bora kuongea kidogo tukafanya matendo, muda wenu umeisha siku zinahesabika
 
Malofa tunataka mabadiliko tumemuelewa raisi wetu elimu imebeba kila kitu hutuba za matusi ambazo unazitaka sie hatunaaa nenda ccm kwa masost ukapate hutubaa wala ukawa hatuna mabushaaaaaa babu weeee
 
Mungu kiukweli tunaomba umsaidie Lowassa leo udhaifu wa Afya yake umekuwa dhahiri sana..anahitaji msaada wa Mungu.Watu wengi wanajua ana uwezo lakini afya inakataa..ni vizuri tu viongozi wa Chadema walione hilo na kumshauri kupumzika
 
Huyu lofa kashindwa tena kuongea. Halafu bado mnataka awe Rais?

Huo ni zaidi ya upumbavu huo ni uzumbukuku.

kikongwe upo bado nenda web ya cdm ukaisome pia tutaipest huku ilikuwa ni kurukakiunzi cha kuzidisha mda ilani itanadiwa full kwenye kampain sawa bibi
 
Kwa niongeza lowassa atueleze kwa nini aliua kitengo cha tourism ndani ya shirika la AICC?
Na hatimaye kupelekea kukua kwa kampuni bonafsi kama vile leoparsds tours ambayo inashutumiwa na vijana madereva kwa unyanyasaji...na pia inasemekena hawa leoprds tours ndio wanao mpa fedha za kampeni.

Pia tujulishwe kuhusu ranchi za taifa na mustakabali wake.

Twambie pia ni kwanini magufuri amelisababishia taifa hasara ya sh Billion 900 kama fidia kwa makandarasi kushindwa kuwalipa on time?
 
hivi sera za kikwete zikikua ni safari za nje eenh!!? siku 377 raisi kuwa nje ya nchi yake ni ujuha, na kipya hatukioni mpaka leo zaidi ya deni la taifa kuongezeka...

Mkuu kama umemfuatilia vizuri Lowasa kwa hizo dakika mbili alizoongea, utaona hakuweza kuainisha strategies zozote zenye mashiko za kuinua nchi. Sana sana, ameleta stori za udaku tuu......!!! Obviously, uwezo wake wa kujenga hoja za msingi ni mdogo sana.!!!!!!! Hicho ndo watanzania walichoona leo
 
mpaka leo hujapata kazi ya kufanya, ccm si walisema wametengeneza ajira milioni moja!!! wamekusahau kada
bahati mbaya ujui kazi ninayofanya na ungekuwa karibu yangu ningekupiga vibao na kukuweka ndani kwa kunikashifu kwa kuniita ccm yani umenikosea heshima sana kuniita jina la kuudhi bt kiukweli mgombea wetu anaitaji watu wa kumwandikia hotuba fupi na bora yenye maneno ya kubeba ujumbe wenye uzito wa billions of tonne kitu ambacho chadema wamekishindwa na watu wa ukawa tupo tayali kufanya tena for free
 
Nilienda na morali narudi with a lot of mixed feelings ..
 
Leo UKAWA wametoa drip la uchungu lililochanganywa na ----- na pilipili kichaa ili CCM mwaka huu wafe kwa uzazi wa kinyonga
 
1.Nitamtoa babu Seya.
2.Nitamleta Balal.
3.Nitawatoa ndani mashekh wa Zanzibar.
Na still bado tuakamshangilia kwa vifijo na vigerere.
Hivi babu Seya na Balal pamoja na hao mashekh wa Zanzibar watahusika vipi kuimarisha uchumi wetu na kutuondolea umasikini?
Je watashusha bei ya umeme,chakula,mafuta,sukari nk?
Ahsante mzee Mkapa,sasa nimekuelewa.
Sisi ni wapumbavu na malofa!!!
Ngoja niwahi usafiri wa kurudi kwangu Ukonga maana nimevurugwa sana na huyu mzee na ninajuta kuja jangwani leo!!!

Uwahi usafiri kwani hukuletwa na lori? Au jamaa hawajakupa nauli?
 
Tanesco ndo wana rudisha umeme saiv tangia asbhi
Baada tu ya mkutano kufungwa na umeme saa iyo iyo ukarudishwa,yaan ccm janga la taifa
 
Back
Top Bottom