Kama hayo ndiyo uliyoyasikia pekee wewe ni mpumbavu zaidi ya nilivyokuwa nakuchukulia.
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Safi sana
magamba huwa hayasikilizi kinachoongewa
Kama hayo ndiyo uliyoyasikia pekee wewe ni mpumbavu zaidi ya nilivyokuwa nakuchukulia.
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
habari za Ukawa zinakandamizwa na wamiliki wa hii forum ambao wote ni maswaiba wa Kikwete.
Wanachofanya hapa ni makusudi ili kusiwe na update zozote za kinachoendelea Jangwani
Wanaunganisha nyuzi zingine zote na huu ambao wameuanzisha wao kwa makusudi kabisa
So usitegemee tofauti
Uwahi usafiri kwani hukuletwa na lori? Au jamaa hawajakupa nauli?
1.Nitamtoa babu Seya.
2.Nitamleta Balal.
3.Nitawatoa ndani mashekh wa Zanzibar.
Na still bado tuakamshangilia kwa vifijo na vigerere.
Hivi babu Seya na Balal pamoja na hao mashekh wa Zanzibar watahusika vipi kuimarisha uchumi wetu na kutuondolea umasikini?
Je watashusha bei ya umeme,chakula,mafuta,sukari nk?
Ahsante mzee Mkapa,sasa nimekuelewa.
Sisi ni wapumbavu na malofa!!!
Ngoja niwahi usafiri wa kurudi kwangu Ukonga maana nimevurugwa sana na huyu mzee na ninajuta kuja jangwani leo!!!
Kwa niongeza lowassa atueleze kwa nini aliua kitengo cha tourism ndani ya shirika la AICC?
Na hatimaye kupelekea kukua kwa kampuni bonafsi kama vile leoparsds tours ambayo inashutumiwa na vijana madereva kwa unyanyasaji...na pia inasemekena hawa leoprds tours ndio wanao mpa fedha za kampeni.
Pia tujulishwe kuhusu ranchi za taifa na mustakabali wake.
Nilienda na morali narudi with a lot of mixed feelings ..
hawakua wezi na pia hawakuwa wamepelekwa mahakamani.
EPA ilikua ni case ya watu kuchukua pesa za epa kama mkopo na kutozilipa.
huo siyu wizi ni bad loan
Sitaki kupanda tena kwenye lori mkuu maana naogopa kugombana na malofa wenzangu...Uwahi usafiri kwani hukuletwa na lori? Au jamaa hawajakupa nauli?
Mimi kama mwanacham wa CHADEMA nimesikitishwa sana na mwenendo wa.leo yaani mgombea uraisi anaongea dakika 11...Leo ndo ingekuw siku ya lowassa kuelez sera zake kwa mda mrefu coz nyomi ya leo ilikuw ya kutosha na watu walikuw na shauku ya kumsikia ndug Edward lowassa.nimekwatish tamaa sana na mkututano wa leo
Hizo ni extra babuu, ni sawa na magufuli alivyowaambia uvccm hatawaangusha.
Kufungwa kwa watu hao kunaleta hisia ya uonevu kwa wananchi wengi, akipita yaliyopita si ndwele wanapata msamaa wa raisi, tunafurahia ushindi
Mvua iliyo anza kunyesha asubuhi ya leo mkoa wa Dar es salaam imeharibu mkutano wa UKAWA.
Hotuba ya lowasa ni aibu tupu kama ya mtoto wa darasa la nne ni kama hakujiandaa.