Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hapa Iringa gari aina ya costa 11 zimetoka hapa kwenda Dar. Gari hizo zimekodishwa na zimewapeleka wana UKIWA.

Kama mkoa mmoja umepeleka watu wote hao inakuwaje kama ni kwa mikoa yote?.

Ndio maana hatujashangaa watu kulala jangwani.

Hatudanganyiki na Tsunami feki.
 
Tumaini Makene yupo wapi...mbona huu uzi ni wakijinga tu sioni update jamani....
Yeye na Molemo wapo kwa Dr. Slaa wanambembeleza aje mkutanoni manake huyu ndiye Rais wa mioyo yao.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzinduzi ni chadema ama ukawa, Mbona vyama vinavyo ungana as ukawa havipewi sauti ni Kama bendera kufuata upepo.
 
Sisi huku Katavi ndiyo tumeunganishwa na Uwanja wa Jangwani kupitia ITV; jenrereta inaunguruma kama kazi, tumeshatumia lita 20 bado zingine 55 zipo. Leo ni kusikiliza hoja tu toka UKAWA ili tulinganishe na CCM halafu tuchukue uamuzi sahihi.

Mama mdogo ccm ahadi zao ni hewa miaka yote madini yameisha gesi ndiyo wanaililia waimalize ndiyo waachie nchi vivutio vya utalii kama tembo wamezing'oa meno bila ganzi hadi wameamua kuzaa bila meno tena twiga wanakunjwa hadi wanaingia kwenye sanduku na unaweza kukutana na kiongozi wa ccm amebeba begi kumbe ni twiga wewe kama Una kitu chako kikubwa Kama twiga usihangaike mwite hata balozi was ccm ataikunja mpaka itaenea hata kwenye pochi make hayo mafunzo ya ujangili wanayo nakushauri achana na hao wanakumaliza mdogo mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene yupo wapi...mbona huu uzi ni wakijinga tu sioni update jamani....

habari za Ukawa zinakandamizwa na wamiliki wa hii forum ambao wote ni maswaiba wa Kikwete.

Wanachofanya hapa ni makusudi ili kusiwe na update zozote za kinachoendelea Jangwani

Wanaunganisha nyuzi zingine zote na huu ambao wameuanzisha wao kwa makusudi kabisa

So usitegemee tofauti
 
Hili ni TSUNAMI huwezi kulinganisha na mafuriko ya mto msimbazi yaliyofanyika wiki iliyopita. UKAWA hadi IKULU...............
 
Hapa Iringa gari aina ya costa 11 zimetoka hapa kwenda Dar. Gari hizo zimekodolishwa na zimewapeleka wana UKIWA.

Kama mkoa mmoja umepeleka watu wote hao inakuwaje kama ni kwa mikoa yote?.

Hatudanganyiki na Tsunami feki.

tulia dawa ikuingie povu la nini?
 
Hizi habari bila picha ni uzushi. Hamna cha mafuriko wala gharika.au bado mnaziunganisha.

3X6A6342.jpg

3X6A6344.jpg

3X6A6351.jpg
 
Kuna jamaa kama makirikiri wanacheza balaa...hapa ni shangwe bado.....
 
Wanachakachua hata vyombo vya kutangazia,halafu ndio tuwape nchi,hivyo vyombo vimetoka kwa mangi maadamu ni mambo ya ukanda wa kaskazini.
 
Huyu jamaa magazeti ni kada wa ccm katupiga bao la mkono.


swissme

habari za Ukawa zinakandamizwa na wamiliki wa hii forum ambao wote ni maswaiba wa Kikwete.

Wanachofanya hapa ni makusudi ili kusiwe na update zozote za kinachoendelea Jangwani

Wanaunganisha nyuzi zingine zote na huu ambao wameuanzisha wao kwa makusudi kabisa

So usitegemee tofauti
 
Mmmhhhh ila tv inaonyesha watu wamejaa sana.
Kwa sera:sijui ila desa la ccm alilopewa magufuli kutoka ka kilwete bila kuedit lilinikwaza kidogo
Magufuli namkubali sana ila tu hawajui waliomuweka. Ataijua ccm akifanikiwa kuapishwa.
Lowasa ni hao hao ila kwa kitendo cha kutoka kujivua gamba kidogo nahisi atabadili
 
Back
Top Bottom