Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

habari za Ukawa zinakandamizwa na wamiliki wa hii forum ambao wote ni maswaiba wa Kikwete.

Wanachofanya hapa ni makusudi ili kusiwe na update zozote za kinachoendelea Jangwani

Wanaunganisha nyuzi zingine zote na huu ambao wameuanzisha wao kwa makusudi kabisa

So usitegemee tofauti
Kweli kabisa. Jf has lost its fairness..
 
lumumba the son umenifurahisha lakini watasema hao ni ccm.wao huwa hawakubali na moderator ataipangua baada yamuda
 
Last edited by a moderator:
3X6A6342.jpg

3X6A6344.jpg

3X6A6351.jpg

Thanks Dr. Meandu

Anzisha uzi hata kwenye jukwaa la picha kule ... ili tuzitunze hizi picha... na tuzisaidie kuzisambaza
 
Mods acheni hujuma.Mnaleta makada kuanzisha uzi mnafuta uzi wa makamanda.sasa kada hawezi kuleta updates
 
Jamani tuliokatiwa umeme tuseme tuko wapi ili tujue ni eneo kubwa kiasi gani lililokatwa umeme
 
Jamani vijana wenzangu tujitokeze tarehe 25 tukamalize kazi ya kuing'oa ccm. Kichinjio chako tunza
 
...wana jamvi umeme umekatwa sasa Dar..hamna matangazo yoyote ya TV wala radio ...tanesco wamekata umeme jamani....huu ushetani gani huu sasa!!....nini hiki sasa...kweli tumefika hapa kweli TZ???..haiwezekani....
 
Back
Top Bottom