Itawachapa mpaka mkome kulinga
kikongwe upo bado nenda web ya cdm ukaisome pia tutaipest huku ilikuwa ni kurukakiunzi cha kuzidisha mda ilani itanadiwa full kwenye kampain sawa bibi
alimaanisha utawala bora na haki sawa
Kikiwemo cha kumtoa Babu Seya gerezani!Hukuelewa au hutaki kuelewa?Kasema kipaumbele ni Elimu, elimu bure kutoka msingi hadi chuo kikuu. Hii hukuisikia?Katoa vipaumbele vyake kama atapata ridhaa ya wananchi nothing else.
Pia nipeni mfano wa taifa japo moja ambalo limefanikiw kutoa elimu bure toka elimu ya awali mpaka chuo kikuu.....mnatudharau sana hata sie wasomi kwakutufanya wapumbuvu tusio kuwa na uelewa.....ovyo kabisa
...
mkuu embu nieleweshe kwani mtu anaeongea sana na mtu anaetenda nani zaidi? watz tumezoea mno kudanganywa
Nilidhani Lowassa atazungumzia Richmond. Mbowe Kanyamaza maana anajua alikuwepo bungeni wakati wa sakata la Richmond. Mzee Wangu Sumaye alikuwa marekani Wakati wa sakata la Richmond. Amedhihirisha kuwa yeye zero kwa kutetea asilolijua. Shame on you tribalistic politicians
And you can you please tell us what have you done to this nation before you as what ccm did to you?
Hivi ni watz wangapi wana hizo website watakaoisoma hiyo ilani ya uwaka mbona sanaa hii kama kisimu changu cha tochi ntaiona kweli wajemeni
Pole mkuu, tatizo hana uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko..... Hio ndo fact
Hivi inawezekana kubadili mgombea kwa hatua hii ilipofikia?