Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hauijui siasa ulipaswa kukaa kimya kama ulisikia au hauna masikio hoja ya balali na babu seya ilitoka kwa wananchi bei ya vyakula amekuwa akizuiwa kuendelea na utafiti kama hoja yako inafanana na hoja ya mkapa hongera na kwako pia kwa kuelewa matusi,mambo aliyosema lowasa yakishughulikiwa vizuri uchumi utapanda bila kutukana
 
How comes mtu anashindwa kusoma matarajio ya hadhira? hana mpangilio, haeleweki, vipa umbele vingine hadi akumbushwe! tuweni ukweli bora kumpa dovutwa kuliko lowassa. Niliwalaumu sana siku ya kwanza ccm kumkata, leo hii nimewaelewa. Lowassa sio presidential material at all

Nasikitika umechelewa kugundua hlo! Ila ni vizuri umeligundua hilo b4 its too late! Magufuli oyee
 
Wakati Duni Hadji Duni akianisha kipaumbele cha kwanza cha serikali yao ni Katiba mpya (ingawa hakusema muda kama alivyofanya slaa 2010)

Lowassa aliainisha kipaumbele chake ni Elimu,Elimu,Elimu.na hakuongelea lolote kuhusu katiba.
 
Mkuu kama umemfuatilia vizuri Lowasa kwa hizo dakika mbili alizoongea, utaona hakuweza kuainisha strategies zozote zenye mashiko za kuinua nchi. Sana sana, ameleta stori za udaku tuu......!!! Obviously, uwezo wake wa kujenga hoja za msingi ni mdogo sana.!!!!!!! Hicho ndo watanzania walichoona leo

Hutuba tamu na ilani tamu tumewaachia ccm, sisi ukawa ni matokeo bora na halisi ya maendeleo.
 
Tanesco ndo wana rudisha umeme saiv tangia asbhi
Baada tu ya mkutano kufungwa na umeme saa iyo iyo ukarudishwa,yaan ccm janga la taifa

ccm ni janga la taifa

kama kipindu pindu

chagua ukawa kuitokomeza ccm

3X6A6344.jpg
 
Pia nipeni mfano wa taifa japo moja ambalo limefanikiw kutoa elimu bure toka elimu ya awali mpaka chuo kikuu...
Enzi zetu ilikuwa hivyo, tena hapa hapa Tanzania. Hata kusafiri kwenda nyumbani wakati wa likizo tulikuwa tunasafiri bure. Umesahau?
 
Back
Top Bottom