Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Clip ya mchonga...watanzania wanataka mabadiliko......balaaa imewekwa kimtindo sanaaaa
 
@Mods Leo mmechemsha sana tandaleone alianzisha uzi lkn mmeupoteza
 
Ingine....ya mchonga inadumbukizwa ingine...leo balaa...nimependa approach hii
 
Leo wafanyabiashara watawakamata watu masikio! Nani kapewa tenda ya kutengeneza tshirt?
 
Sie tupo hapa makumbusho tumelipa buku buku tunamwangalia laigwanani Lowasa bila chenga....teh...teh...teh...full maumeme!!
 
Haya ni maajabu eti TBC1 nao wako Live jangwani... Kulikoni????!!!!
 
Tumaini Makene yupo wapi...mbona huu uzi ni wakijinga tu sioni update jamani....
 
Juzi nilifungua thread kuwataka ukawa waimarishe kitengo cha habari cha ndani. Mpaka leo hakuna la maana. Cha msingi tunapenda Manado link na simu zetu zitapiga kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…