Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

MC anaua...anasema yule aliyesema picha zinaphoto shop apae kwa helkopta aje aone sunami. Na pia jamaa anasema yule aliyesema sisi ni wapumbavu na malofa aambiwe kwamba rais wa malofa anakuja kuongea na malofa wenzake....tshirt pia zenye neno...malofa katika ubora wetu zinauzwa...nomaaaaa
 
11918947_525140264328338_1189071486471531745_n.jpg

11954713_525150764327288_3709857380772871105_n.jpg

watauza sura sana mwakahuu.....
hivi huyo wolper ana mme au bado?.......
 
Naomba kuuliza ni kituo gani cha televisheni kinachotangaza mkutano huu moja kwa moja online?
 
hoja nyingine unajijibu mwenyewe. tutajadili nini sasa?
 
MC anaua...anasema yule aliyesema picha zinaphoto shop apae kwa helkopta aje aone sunami. Na pia jamaa anasema yule aliyesema sisi ni wapumbavu na malofa aambiwe kwamba rais wa malofa anakuja kuongea na malofa wenzake....tshirt pia zenye neno...malofa katika ubora wetu zinauzwa...nomaaaaa
Huyu MC anaitwaje??
 
Mkuu wewe hujui unachokisimamia maana january 2014 uliisifia sana CCM na kuwaaminisha ndugu zako watanzania kuwa CCM ni nzuri na mpaka ukamkubali MAGUFULI pale alipokuwa amekesha kwenye daraja kusimamia utendani..
bila shaka nawe unaingia kwende kundi hili hapa chini..

"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA,
mbunge na kiongozi wa CDM.
Unazungumzia January? Are you serious?
 
.............
1. Kwa kuwa Lowasa kati ya mwaka 1997 na 2000 alikuwa akiiongoza wizara ya kuondoa umasikini, alifanya nini kinachompambanua .............

UKAWA kwa upande wao naomba watueleze ni kwa nini tuendelee kuwaamini iwapo wamerudi kukanusha yale waliyotuaminisha hata tukawapenda.

1. Vita dhidi ya ufisadi. CHADEMA walijipambanua kama wapiganaji wa kweli dhidi ya ufisadi. Hii ndio sera ambayo bila ubishi iliwapatia umaarufu mkubwa.

CHADEMA wasimame na kukiri hadharani leo kwamba yale waliyotuaminisha kwa muda mrefu juu ya ufisadi ni uongo. ........

..............
2. CHADEMA ikiri na kuomba radhi kwa watanzania kwa kitendo chake cha kukiuka misingi kiliyojiapiza kuisimamia na kukanyaga demokrasia. .........

.........

Tujadili kwa hoja, matusi mwiko. Lizaboni, RIZ1, et al

Wewe ni mtanzania au mburundi? Wakati siasa za nchi hii ziko kwenye yransformation wewe umekalia ndoto. Lowassa wa enzi zile alipokuwa chama cha magamba si wa siku hizi. Isitoshe kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ukiwa umefungua macho na kutumia akilizako sawasawa zikuongoze huyu mheshimiwa katumia wadhifa wake katika kufanya maamuzi magumu na yenye tija kwenye taifa hili. Ni mengi kuliko kiongozi yeyote aliyeko CCM. Narudia, idadi ya aliyofanya ni ndefu kulinganisha na kiongozi yeyote wa CCM.

UKAWA: Huu ni umoja wa Katiba ya wananchi. Wanastahili pongezi badala ya kuanza kuwa na mashaka nao, kazi walofanya so far ni ya kuridhisha. Nyenyere analeta ushabiki wake usio na tija, hivi anataka tuendelee kuwaamini CCM waliompakazia mzee wa watu tuhuma ya Richmond? Aliyehusika na skandali hiyo tunamjua na tunsubiri tuone mchakato wa kura utaendaje ili tuweze kuwawajibisha wote waliohusika na wizi ule. Mapambano dhidi ya ufisadi hayajaisha, tulimtuhumu Lowasa kwamba ni fisadi kwa sababu tuliaminishwa hivyo na tume ya Mwakyembe ambayo ilimung'unya mung'unya wakati inasomwa. Ila bado mafisadi wako wanafaidi keki ya taifa, itakuwa chungu karibuni.

Hapo cha kuomba radhi ni nini? Nyenyere ebu tumia akili kidogo, ruhusu au lazimisha akili yako ifanye kazi ya ziada isumbike kufikiri.

Lowasa si fisadi, magamba walimsingizia akanyamaza tu kulinda heshima ya chama chake ambacho hakikumthamini.... mkiendelea kumchokonoa ataanika mengi.
 
Back
Top Bottom