Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Daah jamaa zangu wamechelewa wameishia magomeni mana huku jangwani hakufikiki
 
Chadema acheni unafiki wolper kavaa gwanda mnasema anajitambua,,Wema akivaa kijani hajitambui...acheni ulofa nyinyi
Ni kwa sababu tulitarajia kizazi kipya kiwe mstari wa mbele kupigania mabadiliko kwa faida yacho na vingine vijavyo. Fikira mgando tuachieni sisi vijana wa zamani.
 
Chadema acheni unafiki wolper kavaa gwanda mnasema anajitambua,,Wema akivaa kijani hajitambui...acheni ulofa nyinyi

Huna akili, kwani hata kuwepo kwao ni tofauti, ila ya CCM ilikuwa fiesta. Lilikuwa ni tukio la wasanii vs Uzinduzi. Na inaonyesha wazi wasanii walijaza watu kuliko uzinduzi wa CCM. Leo ni Uzinduzi wa UKAWA hasa
 
Hivi ni kwanini hizi nyuzi za ukawa huwa network inasumbua hivi?ni kwamba kunakuwa na users wengi au?inakera sana.Jamiiforums rekebisheni hili cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Kaingia msagasumu

Na mimi nashangaa kwa nini picha zimeondolewa na sasa zinaonekana za watu wanaopanda malori hiace picha ambazo wala sio za leo. Nina wasiwasi na mleta mada au mods wamenunuliwa!!!!

Tiba
 
Nipo hapa jangwani sasa, MC wa shuguli kubwa kama hii kupiga makelele, ni ajabu sanaaa ni kamanda makini ila anapiga makelele sanaaa, yani huku kati atusiki vizuri.

Fanyieni kazi haraka watu wengi wanasema.

People's powerrrr
 
Pipooooooooooozzzzzzzz ze poweeeeeerrr. Malofa na wapumbavu katika ubora wao. Leteni news.
 
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.

jitoeni ufahamu mshauriane na dhaifu mchukue chopa japo mpite jangwani mkawashuhudie malofa na wapumbav katika ubora wao.
 
Hivi ni kwanini hizi nyuzi za ukawa huwa network inasumbua hivi?ni kwamba kunakuwa na users wengi au?inakera sana.Jamiiforums rekebisheni hili cc Invisible

usihangaike na invisible na wenzake

wanafanya makusudi kuikandamiza ukawa

angalia wanavyohangaika na thread za leo

wameweka hii ya mahesabu na haina updates zozote za picha.

hawa ni maswaiba wazuri wa kikwete na hawawezi kumuangusha
 
bavicha naona wamepooza kweli,nini mbaya,hakuna watu?...



wekeni mbisha saa hii
 
Back
Top Bottom