Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Huu ni upungufu mkubwa kwa kitengo cha mawasiliano -UKAWA. Wao ndio wangewahi kuanzisha uzi ambapo wangeweza kuahakikisha wanatoa updates za uhakika. Aliyeanzisha uzi huu ni kirusi. Nilishngaa hata zile picha za mwanzo hazikuwa na ubora. Unaweza kuona jinsi alivyofanya makusudi kabisa kuziba nafasi ya kuwakosesha wafuatiliaji wa tukio kupitia hapa JF. Akina Tumaini Makene mmeshindwa kazi.

Ila moderators wafahamu tunakosa haki ya msingi ya kuingia kwenye huu mtandao. Hawaoni hili tatizo??
 
Chadema acheni unafiki wolper kavaa gwanda mnasema anajitambua,,Wema akivaa kijani hajitambui...acheni ulofa nyinyi
 
Tatizo mkuu hapa bongo kuna jamaa wanaitwa watoto wa fisi, hao wakikuona umekomaa na smartfone yako unapiga picha mara uko bize wanapita nayo. So hizi tunategemea kutoka kwa watu walio mbali kidogo na kundi kubwa ila subiri Lema akifika atatuma nyingi tu.

Hapo nimekuelewa mkuu,maana sioni kabisa mapicha yakipandishwa....mpk nikahisi hujuma nini?
 
Hata mi nashangaa kwenye radio wanatangaza kuna Tsunami viwanja vya Jangwani ila hii thread sioni ikitoa updates zozote!

Nimeshangaa sana kuna Uzi wa Jana ulianzishwa lkn Leo sijauona kbsa
 
Lowassa hana haja ya kupiga kampeni, anatakiwa kupunga mkono then sie malofa tunampigia kura bila jasho..... huu ni mwaka wa malofa
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1440849644.302938.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1440849644.302938.jpg
    38.1 KB · Views: 386
Back
Top Bottom