Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Jamani uwanja tayari umejaa na umetema sasa sijui dar yote imehamia hapo
 
UMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...
jamani hii ndio nini? mimi ccm lakini kwa tabia hii si wezi namwogopa Mungu, kuunga mkono ccm kwa sasani waonezi
 
wametokelezea balaa ingekuwa njano ingekwa zimejaa nzi mana nzi watafikiri majani
 
Mwenye uwezo aende akawaulize hao waliokuwa kwenye magari then atapata jibu sahihi.Kuhusu bodaboda sina taarifa.
 
Makamanda mbona leo mafuriko hayapo?daaah nafuatilia hapa nafuatilia naona watu wachache sana.
Wachache wakati mtangazaji amesema uwanja hautoshi itabidi wengine waishie barabarani? ni tsunami sio mafuriko
 
Sisi huku Katavi ndiyo tumeunganishwa na Uwanja wa Jangwani kupitia ITV; jenrereta inaunguruma kama kazi, tumeshatumia lita 20 bado zingine 55 zipo. Leo ni kusikiliza hoja tu toka UKAWA ili tulinganishe na CCM halafu tuchukue uamuzi sahihi.
Kamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...
 
11221781_1076124289088687_3343360026990072779_n.jpg
 
wagombea wetu wanawajibika kushughulikia suala la ajira, nyomi la ccm na hili la ukawa inatoa picha ya wazi vijana wengi hawana ajira rasmi
 
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
wewe kaangalie ya kwenu huko mbeya, haya hayakuhusu au uje upige picha umpelekee mkulu asijesema ni za kutengeneza.
 
Hivi wakitaka kujisaidia wanaenda wapi ???? Hayo Mazingira na Viroba sipati picha
 
Back
Top Bottom