lumumba the son
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 207
- 60
Haijapata kutokea....
Kamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...
mods hamtutendei haki huyu aliyeweka hii post haleti update yoyote, ule uzi wa TandaleOne uko wapi?
Watu wasije na vitu vya thamani na wakae karibu na magari yao.wakati wa kuondoka usitembee mwenyewe
Kujaza watu hakumaanishi wote wanakuunga mkono , Kuna watu walikuwepo kwa CCM na leo wapo kwa Ukawa , watu wamekwenda kusikiliza SERA siyo kupiga kura za wazi za ndio
By the way hatuna utamaduni wa kutoka out ndiyo outing zetu hizo Wabongo ,mi mwenyewe hapa nafunga ofisi naelekea but kumoyo kura ya Ndiyo kwa Pombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wakuu bado sijaridhishwa na uletwaji wa picha katika hili tukio, mboma za mwanza,mbeya na Arusha zilikuwa zinamiminika kila dakika, dar mumekuwaje leo.....au kuna uzi mwingine una hili tukio mimi sina habari?
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani.Kwa sasa ni burudani kwa wasanii mbalimbali kutumbuiza na kwa sasa aliemaliza kuimba ni Singo na anaefata ni Juma Nature akiwa na msaga sumu.
Tuwe pamoja hapa (kwenye hii thread) kujuzana yatakayojiri kwenye kampeni za leo.
Hahahaaa mimi ni team mabadiliko
Watu wamekodi wenyewe usafiri wanao ona ni bora kwao