Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Mbona uzi wa 2014 mnauendeleza leo kutuchanganya nyie vipi bhana?
 
11918947_525140264328338_1189071486471531745_n.jpg

11954713_525150764327288_3709857380772871105_n.jpg
 
aliyeanzisha huu uzi kaingia mitini,hata siku ile ya lowasa kukaribishwa ukawa alifanya hivi hivi,no updates!..anatumiwa huyuuu
Huu ni upungufu mkubwa kwa kitengo cha mawasiliano -UKAWA. Wao ndio wangewahi kuanzisha uzi ambapo wangeweza kuahakikisha wanatoa updates za uhakika. Aliyeanzisha uzi huu ni kirusi. Nilishngaa hata zile picha za mwanzo hazikuwa na ubora. Unaweza kuona jinsi alivyofanya makusudi kabisa kuziba nafasi ya kuwakosesha wafuatiliaji wa tukio kupitia hapa JF. Akina Tumaini Makene mmeshindwa kazi.
 
mods hamtutendei haki huyu aliyeweka hii post haleti update yoyote, ule uzi wa TandaleOne uko wapi?

Hata mi nashangaa kwenye radio wanatangaza kuna Tsunami viwanja vya Jangwani ila hii thread sioni ikitoa updates zozote!
 
Last edited by a moderator:
Ccm Mlimfanya Nini Kawa Alihusika Na Hayo Mambo Uliyoyataja? Kwanini Muwataje Walihama Kwenu Tu Waliobaki Hamuwasemi? Je? Hayo Maswali Mbona Haujawai Kumuuliza Magufuli Na Ccm Yake Pale Jangwani? Ndio Maana Tunasema Tunataka Kubadilisha Chama Na Sio Mtu Mmojamoja, Tumegundua Mfumo Mzima Ni Mbovu Hivyo Tunakwenda Kudili Na Mfumo Hakuna Jiwe Litakalosalia Juu Ya Jiwe Lingine
 
Kamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...

Generator yetu ni aina ya Honda, na lita 20 zilivyotumika mbona kuna maelezo. Tumewasha tangu saa nne kuwapa majirani muda wa kusikiliza video ya hotuba ya Mwl Nyerere ya mwaka 1995 (Kilimanjarop Hotel) yenye kuongelea Uzanzibara na Uzanzibari halafu tukaangalia video ya Mwl Nyere ya mwaka 1995 ktk Mkutano Mkuu wa CCM yenye kuongelea Watu wanataka Mabadiliko. Vile vile watu wamesikiliza na kuona cliup za uzinduzi wa CCM na kuwasikiliza Makongoro, Warioba, Shein, Mkapa, Kikete na Mgombea. Yaani watu nilionao hapa wamepata elimu ya uraia tosha sasa wanasubiri hotuba ya Mbowe, Maalim Seif, Slaa, Makaidi, Mbatia, Lisu, Duni na Lowasaa ili wachuje mbichi na zilizoiva.
 
Kujaza watu hakumaanishi wote wanakuunga mkono , Kuna watu walikuwepo kwa CCM na leo wapo kwa Ukawa , watu wamekwenda kusikiliza SERA siyo kupiga kura za wazi za ndio

By the way hatuna utamaduni wa kutoka out ndiyo outing zetu hizo Wabongo ,mi mwenyewe hapa nafunga ofisi naelekea but kumoyo kura ya Ndiyo kwa Pombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

mtajidanganya sana mwaka huu.
 
Viva ukaw,viva lowasa.tuna imani kubwa na wewe,zawadi yetu kubwa ni kura za kutosha
 
Kujaza watu hakumaanishi wote wanakuunga mkono , Kuna watu walikuwepo kwa CCM na leo wapo kwa Ukawa , watu wamekwenda kusikiliza SERA siyo kupiga kura za wazi za ndio

By the way hatuna utamaduni wa kutoka out ndiyo outing zetu hizo Wabongo ,mi mwenyewe hapa nafunga ofisi naelekea but kumoyo kura ya Ndiyo kwa Pombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Unaonekana una frustration hukutegemea hii,ndio hivyo tena hatuna msaada wa kukusaidia
 
Kama watu wengi kuja kwenye mkutano sio kura basi mgombea wa chausta/ACT tujiandae kumuapisha
 
ITV kazi imeanza ila sauti sio nzuri kina mwangwi kimtindo
 
Back
Top Bottom